Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
2004 mkuu nilikuwa na miaka 9+ ivyo naifahamu Chelsea vilivyo naweza kukutajia kikosi chote cha wakati huo ambacho kilileta mapinduzi makubwa kiasi Kwamba kiliweza kubeba ligi mara mbili na kuingia fainal 2008 na man u ..ivyo nikumbushe iyo game mkuu..

#CFC

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

Sawa sawa.

Mimi pia naweza kukutajia kikosi cha Sweden kilichoingia Fainali mwaka 1958, nikiwa bado sijazaliwa.
 
2004 mkuu nilikuwa na miaka 9+ ivyo naifahamu Chelsea vilivyo naweza kukutajia kikosi chote cha wakati huo ambacho kilileta mapinduzi makubwa kiasi Kwamba kiliweza kubeba ligi mara mbili na kuingia fainal 2008 na man u ..ivyo nikumbushe iyo game mkuu..

#CFC

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

Didier Dischamps alikuwa anavaa Jezi namba ngapi?
 
2004 mkuu nilikuwa na miaka 9+ ivyo naifahamu Chelsea vilivyo naweza kukutajia kikosi chote cha wakati huo ambacho kilileta mapinduzi makubwa kiasi Kwamba kiliweza kubeba ligi mara mbili na kuingia fainal 2008 na man u ..ivyo nikumbushe iyo game mkuu..

#CFC

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wewe dogo wacha uwongo, kuna mafile yako nimeona umezaliwa 1999 hiyo miaka 9+ uliipata wapi?
 
Atleast jukwaa hili na lile la Arsenal mashabiki wake wanauelewa mpira.

Yani mpira mpira unachambuliwa mpaka raha!

Huko kwengine kwa Manyumbu na Chelshishi ni kuongea utumbo tu, kila mtu anaongea lake.

Hongereni sana, nitakuwa napitapita na comments zenu wakuu.
Hakuna mashabiki wenye matusi plus kauli chafu Kama mashabiki wa Liverpool,sema tu msimu huu umewaendea vizuri ndiyo maana wanajifanya wastarabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom