Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
city naona wamepaniki sana, it was the only realistic chance ya wao kugusa japo semi kwenye CL....... dont think wana nafasi nyingine huko mbele maana next season timu zitakua on fire
Next season Liverpool tunarejea wenyewe kwenye Ulingo, waliobahatisha mara hii kufika nusu basi wajitahidi walibebe kwani ndiyo nafasi yao hii!
Mara ya mwisho kutokea Vituko kama hivi ni 2004, ni miaka 16 sasa.
Wajipange miaka mengine mengi mbeleni ndiyo watakuja kupata tena nafasi kama hii.