dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,350
wakanaswa kwa Pepe 72m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka last season walivomkosakosa Mtu kwa Madison [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini nina uhakika kati ya Manure na Chelsea lazima mmoja wapo atapigwa kwa Chillwel [emoji23][emoji23]
Lakini masihara mbali na Nyinyi mulikoswakoswa kupigwa kwa Thomas Lemar (£90M) na Wilfred Zaha (£75M) [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui Shetani gani nikamnyonge aliyewazindua Punda nyie [emoji23][emoji23]