Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Tumepeleka £44m + Guendouz wamegoma wanataka £55m cash
Lol £55m cash upfront... Basi wapeni ofa ya angalau £60m ila mlipe design ya Pepe kuliko hio cash.. Hio itawagharimu maana boss kubwa Stan kama ma bosi wetu utamsikia lazima muuze ili kununua...

All the best ndogo ni fundi... Na bila corona itakua bei zaidi ya hio..

Yupo mwingine huko huko Ufaransa Camavinga chini ya kocha dynamic atakuja kua 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥...


YNWA
 
Nyumbu bhana! Eti Maguire hawamtaki hafai [emoji23][emoji23]

Kenge hawa Walipomsajili walikuwa wakisema ni Zaidi ya VVD pumbavu zao!

VVD ni Beki wa Sayari nyengine!
hahahaaa ila kwa yule walilamba garasa....... 80m pale ni hasara kubwa sana[emoji23]
 
£80m

Naona Leicester wanatafuta mwingine wampige kwa Chillwell View attachment 1540014

Nakumbuka last season walivomkosakosa Mtu kwa Madison 😂😂😂

Lakini nina uhakika kati ya Manure na Chelsea lazima mmoja wapo atapigwa kwa Chillwel 😂😂

Lakini masihara mbali na Nyinyi mulikoswakoswa kupigwa kwa Thomas Lemar (£90M) na Wilfred Zaha (£75M) 😂😂😂

Sijui Shetani gani nikamnyonge aliyewazindua Punda nyie 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom