DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Thiago ni fundi haswaaaaaa...Mkuu DullyJr kumbe mnamtaka..
Aisee ndogo fundi all the best..
Shinda ni raisi wa Lyon mzee Jean yupo kama Levy wa Spurs yaaani atawapiga ela ndefu na mpaka basi hanaga huruma..
Huyo Thiago mpaka sasa mwenzio hajanishawishi japo chini ya Klopp naamini atakua moto zaidi... Shinda kwangu ni majeraha yake ndugu hilo tu..
YNWA
Huyu Aouar sisi tumepeleka Guendouz na pesa na wamegoma, hao jamaa wanataka kuwapiga watu pesa ndefu
tuwe wapole tusikilizie hii biashara itafikia wapi, Ila sarakasi hazikosekani kwenye usajili.
