Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
£27 kwa liver ni hela ya nyanya nashangaa kuna Kops wanaionea uchungu utazani wanachangishwa kumnunua, wanasahau liver tukielekea kuwa midtable club tulinunua magarasa mia kwa zaidi ya £ 30 kila garasa!
Kwa soko la wakati huo Tulimnunua Andy Carroll kwa £35M ambapo kwa soko la sasa ni sawa na £100M+
OX tumemnunua kwa £35M kuja kuvaa POP tu! Lakini kwasababu hahatarishi nafasi ya Captain basi Watu wameridhika.
Lakini Alcantara kwasababu anaweza kuhatarisha nafasi ya Captain Watu wanasema £27M ni nyingi sana.