OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Ban ipi iyo mwamba? Mods huwa wananifanyiaga hujuma.mwamba wa kujipiga ban, hali vipi mkuu?
Ban ipi iyo mwamba? Mods huwa wananifanyiaga hujuma.mwamba wa kujipiga ban, hali vipi mkuu?
Tuna world class wachezaji 9 sasaivi nyie mnao wangapiNani Halima au.???
WatajeTuna world class wachezaji 9 sasaivi nyie mnao wangapi
1.Maguire 2.pogba 3.Bruno 4.martial 5.rashford 6.matic 7. Bissaka 8. Lindelof 9.shaw 10.greenwoodWataje
Duh mbona umetaja malapu tu hayo1.Maguire 2.pogba 3.Bruno 4.martial 5.rashford 6.matic 7. Bissaka 8. Lindelof 9.shaw 10.greenwood
Hahahaha takataka uliyoandika.Tuna world class wachezaji 9 sasaivi nyie mnao wangapi



Unaota ww aya nitajie kwenu mnao wangapDuh mbona umetaja malapu tu hayo
Pogba kidooooooogo
Bruno kidooooooooogo kwa mbali kwa mbali sana
Daah nimemsahau de gea1.Maguire 2.pogba 3.Bruno 4.martial 5.rashford 6.matic 7. Bissaka 8. Lindelof 9.shaw 10.greenwood
Kama Buruno ni WCP basi na Jesse Lingard na yeye atakuwa ni WCPDuh mbona umetaja malapu tu hayo
Pogba kidooooooogo
Bruno kidooooooooogo kwa mbali kwa mbali sana
Siwataji sababu unawajua tayariUnaota ww aya nitajie kwenu mnao wangap
Nyie likundi lenu la wahuni lile halina hata world class hata mmojaHahahaha takataka uliyoandika.
Unazungumzia Halimagwaya? Bibissaka? James Delicious? Ericka degea? Au nani mmasai Ole?? ..wacha utani bwana![]()
Greenwood ?? Lindelof ?? Matic??? Bissaka?? Shaw?? Umewafananisha na kina nani??1.Maguire 2.pogba 3.Bruno 4.martial 5.rashford 6.matic 7. Bissaka 8. Lindelof 9.shaw 10.greenwood
Labda kama WCP wa penaltKama Buruno ni WCP basi na Jesse Lingard na yeye atakuwa ni WCP
Siwajui nijuzeSiwataji sababu unawajua tayari
WCP hao umeuliza nini sasaGreenwood ?? Lindelof ?? Matic??? Bissaka?? Shaw?? Umewafananisha na kina nani??
Unamjua Timo Wener, kuna kiungo matata dunia hii kama Kante? Achilia mbali Zuyech ..kuna iyo namba chafu Pulisic anapita popote ..sisi tuna wachezaji ambao wanacheza timu yeyote ile duniani..Nyie likundi lenu la wahuni lile halina hata world class hata mmoja
pole kwa yaliyokukuta huko bavaria mkuuBan ipi iyo mwamba? Mods huwa wananifanyiaga hujuma.
Swali au hauno swali?WCP hao umeuliza nini sasa
We jamaa bhana nimecheka sana sasa Werner ndo world class hahaha eti ziyech yani flop hilo lanini yani unazungumzia pulisic ambaye first 11 bado haelewekiUnamjua Timo Wener, kuna kiungo matata dunia hii kama Kante? Achilia mbali Zuyech ..kuna iyo namba chafu Pulisic anapita popote ..sisi tuna wachezaji ambao wanacheza timu yeyote ile duniani..
Huo utopolo wenu man u labda championship uko ndo zinapata namba