dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,350
labda ana maana ya word class prayers![emoji16]Greenwood ?? Lindelof ?? Matic??? Bissaka?? Shaw?? Umewafananisha na kina nani??
labda ana maana ya word class prayers![emoji16]Greenwood ?? Lindelof ?? Matic??? Bissaka?? Shaw?? Umewafananisha na kina nani??
Jlingz umemuweka? huyo nae ni WC[emoji3]Na hapo de gea sijamuweka
Lings sio WC hiyo nakubaliana na weweJlingz umemuweka? huyo nae ni WC[emoji3]
[emoji23][emoji23]huyu jamaa mnamuwezea sanawe dogo hivi yule mchezaji wenu james delicious yuko wap? mlimuuza?
Mchezaji anaejielewa ataenda Liverpool bhanaUbahili wenu utawaponza mnasajili vitoto kwa bei chee mnategemea nini
Minamino yupo wapi
Huyo dogo anakuja, ila hana pumzi ya kucheza epl, leteni miamba iliyokomaa tatizo mnapenda vitonga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda ana maana ya word class prayers![emoji16]
Msimu ujao haka katimu kataenda ku floap vibaya mnoo..
Amini Kwamba
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
mimi nimesema Jlingz ni WC, wewe unasema sio WC na hapo hapo unasema unakubaliana na mimi........Lings sio WC hiyo nakubaliana na wewe
kweli kabisa mkuu, Salah alikua kitonga, Robo kitonga, Shaqir kitonga, yan sisi tunapenda kitonga hatari......Ubahili wenu utawaponza mnasajili vitoto kwa bei chee mnategemea nini
Minamino yupo wapi
Huyo dogo anakuja, ila hana pumzi ya kucheza epl, leteni miamba iliyokomaa tatizo mnapenda vitonga
hakuna namna inabidi tumsaidie mkuu[emoji23][emoji23]huyu jamaa mnamuwezea sana
Bonge la jiwe ha haaakweli kabisa mkuu, Salah alikua kitonga, Robo kitonga, Shaqir kitonga, yan sisi tunapenda kitonga hatari......
vipi ozil anasemaje hapo london mkuu?
Labda ni WC wewe sindo umeona sikupingimimi nimesema Jlingz ni WC, wewe unasema sio WC na hapo hapo unasema unakubaliana na mimi........
sasa unakubaliana na mimi kwenye nini? mkuu huko shuleni ulienda kusomea ujinga? ([emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3])
alafu unasikia mtu anasema corona[emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435]
HahahahaHii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno