Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukweli usiofichika ni kwamba Klopp aliwataka Auba, Pulisic, Werner, Fekir na Coutinho lakini Matajiri (FSG) wamegoma kutoa!
Nadhani wanafidia yale matumizi yao waliyofanya kwa VVD, Alisson, Fabinho na Keita.

Wamemuuza Solanke na Danny Ings kwa hela nzuri tu lakini hawakuzitumia kusajili mpaka leo.

Hapa tusubiri U16 asajiliwe tuambiwe anajenga Future.
na huu ndio ubaya wa klop, kwanini asiwatingishe kidogo hawa?.......

wakati flani huwa nampenda mou, yeye ni very vocal kwenye usajili
 
Sijawahi kuamini bahati katika mpira
Origi sio kwamba anajua mpira anabebwa na bahati hawezi kucheza mechi sita na kufunga magoli hata katika mechi nne akijitahidi sana ni mechi moja ama mbili


Umeelewa niliposema Origi ni 'shujaa wa the best night at anfield ever '??..

Mtu akishakuwa shujaa anapewa loyalty tofauti na wengine. ..anasikilizwa..
Watu wanahakikisha maamuzi hayamkwazi..

Origi ni shujaa..huwezi linganisha na vitoto hivyo..
Mchezaji hata kama anafunga mechi kumi mfululizo huwezi linganisha na kupindua meza
Na unaifunga Barcelona yenye mchezaji Bora tangu dunia kuumbwa Lionel Messi..
Unafunga bao mbili zinaingia Kwa history forever...

Wewe kama bado unasema eti hafungi mechi sita..anabahatisha basi huelewi kitu nnachozungumza hapa
 
For the last 5 years Manchester City's net spend is some £505.6million and Manchester United's is £378.9million na bado jamaa dirisha hili wameingia sokoni mazima regardless ya effect za corona ama kuuza wachezaji walionao..

Huku sisi net spend yetu ikiwa £92.4m for the past 5 years..

Ki ukweli Klopp alitakiwa all his target apewe tu aidha ni Kalidou, Timo, Kai, Sanco nk maana hizo ela zipo kabisa..

YNWA

Hiki ndicho kinanishangaza, toka Klopp aje hajafanya blunder kwenye transfers.

Sasa hii ingekuwa motivation tosha ya wao kumpa sajili anazozitaka ukichukulia pia timu iko financially stable.
 
What happened to Ben Woodburn?

naona tetesi anaenda tena on loan germany!.... ama Klop haoni potential kwake?
 
Hiki ndicho kinanishangaza, toka Klopp aje hajafanya blunder kwenye transfers.

Sasa hii ingekuwa motivation tosha ya wao kumpa sajili anazozitaka ukichukulia pia timu iko financially stable.
Kabisa ndugu ndio hili la hatuna pesa kwangu siamini aisee...

Kwamba kununua mpaka tuuze..

Klopp hua kwenye kununua yupo makini sana sijaona mchezaji ambae amekuja na akawa flop mazima na kuuzwa kwa hasara hata akina Solanke we made profit..

Nwa ngoja tuone hawa FSG wana mpango upi...

YNWA
 
Sisi tunaenda iwakilisha vyema England kwenye UEFA usiku wa leo..

Kipigo cha mbwa koko kitatembezwa kwa wale mbwa wa ujerumani adi washangae ..

Miaka kadhaa nyuma pale Allianz..tulibeba uefa wakiwa wanaona..

Sasa tunakwenda kupindua meza kibabe

Amini Kwamba
#CFC
Hahahaaaa
 
Origi ni shujaa wa the best night ever at anfield..
Wewe unamchukuliaje poa?..

Mpira Una Royalty na loyalty..sio mahesabu Tu kama kampuni...
Naumia sana anavyo pondwa Origi mtu anapangwa dakika kumi akikosea tu hafaiii na kuna mtu kacheza dakika 80 kimakosa huoni mshangao kwa watu

HIVIII MCHEZAJI WA BENCHI ANAFANANISHWAJE na wa kikosi cha kwanza?

MBAYA ZAIDI KUMBE HATA KUNUNUA MCHEZAJI WA 50 HATUWEZI DAH.
 
Kudadeki! Tunaanza na Left Back.

Akishasema Paul Joyce Mimi ni nani hata nisiamini?



Sell to buy

Tulibahatisha kwa Robertson! Tunalazimisha na kwa wengine iwe sawa na kwa Robertson!

• Kwa Solanke tulifeli
• Kwa Minamino tumefeli ingawa Watu hawataki kulisikia Hili! But naweka wazi kuwa Minamino ni failed project.
• Van Dem Berg ni sawa na Brewster hatma zao ni Dilemma almost zinaendea kufeli.
• Na kwa huyu Dogo nitasema muda ukifika coz kwa sasa ni 50/50.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom