Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Dah, usinikumbushe huo mpunga wa Ozil unaniumiza sana
Ametumwa pesa, umri wenyewe maji ya jioni ngoja ale pesa za mabwege kwanza, maana walimpa mkataba kwa mihemkoNa hahami kwenda Westham au Hather Barlin akaishia kulipwa £70K kwa wiki, atang'ang'ania hapohapo Arsenal kula Minoti ya kufa Mtu mpaka mkataba wake umalizike [emoji23][emoji23]
Kwahiyo Klopp ni adui??? [emoji23][emoji23][emoji23]Angejitangaza moja kwa moja, siyo watu tunajadili mambo ya timu yetu yeye anaingilia.
Adui anatuchaguliaje maaskari wa kutumia vitani?
Kwahiyo Klopp ni adui??? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji23][emoji23]Labda iwe Mars,
Lakini si kwa dunia hii, endelea kuota mkuu, ina maana ninavyokuwa kule ktk jukwaa la Chelsea nakuwa chelsea, nikienda manchester nakuwa manchester[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ndio hivyo basi shabiki wa Liverpool ni mkuu Captain Marvelous tu, maana yeye huwezi mkuta majukwaa mengine kizembe
[emoji23][emoji23]Labda iwe Mars,
Lakini si kwa dunia hii, endelea kuota mkuu, ina maana ninavyokuwa kule ktk jukwaa la Chelsea nakuwa chelsea, nikienda manchester nakuwa manchester[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ndio hivyo basi shabiki wa Liverpool ni mkuu Captain Marvelous tu, maana yeye huwezi mkuta majukwaa mengine kizembe
Aiseeeehhhh, watu mna vichwa vigumu sana ktk kuchanganua mamboHata kama ni kujipendekeza ila kwako ni kama imekuwa too much!
Haiwezekani watu wanajadili ubovu wa timu yao au wachezaji wao halafu mtu baki anakuwa anaingilia kila mara.
Ndiyo maana tunasema, jitangaze tu kwamba wewe ni mwana familia ili tukutambue mkuu.
hakika mjumbe mwenzanguKama umejaliwa kuwa na roho ya kusifu na kuabudu kila kitu, huyo ni wewe.
Ukimsifu wewe inatosha. Siyo lazima wote tufanye kazi sawa.
@Don Clericuzio my bro nakuheshimu sana, hivi unavyofikiri wale wachambuzi kule maredioni na katika runinga hawana timu wanazoshabikia?Ni mchezaji gani wa Chelsea au wa Man United huwa unamtetea kule kwenye majukwaa husika?
@Don Clericuzio my bro nakuheshimu sana, hivi unavyofikiri wale wachambuzi kule maredioni na katika runinga hawana timu wanazoshabikia?
Mimi mwenzako hata game ya burnley na watford huwa naangalia hivyo suala la kuzungumzia wachezaji kwangu ni kawaida tu.
Sidhani kama ninafanya kosa, kama kuna kosa kimbilia polisi kama alivyofanya papaa Gigyfedha na wenzake
unafananisha mchango wa Messi na Hendo????.......... mkuu tunaongelea mchango wa mtu na sio makombe!Nobody says shit when FIFA awards Messi with the Baloon D' Amor despite the fact that he doesn't win nothing for his team nor his country!
Ibaki kusemaHakuna mahali nilikosema unafanya kosa, isipokuwa nilichoandika ni kwamba unaboa.
Unaweza kunitajia mchezaji yeyote wa Man United au Chelsea ambaye huwa anapondwa na washabiki wa timu yake na wewe ukawa unamtetea?
Au kule kwenye jukwaa lenu, ni nani huwa anakuja kuwatetea wachezaji mnaowaponda?
Ibaki kusema
'USINIPANGIE CHA KUFANYA '
sorry kwa hiyo kauli maana sipo hapa kukufurahisha wewe,
unavyofikiri wewe unaweza kufurahisha kila mtu? kaa fikiria kuhusu hilo, kama Yesu tu aliwafurahisha watu na wengine aliwaboa itakuwa wewe au mimi?
Jifunze kuwa mvumilivu maana wewe na mimi ni binadamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Exactly, pia naruhusiwa kuzungumza kitu ambacho naona hakinifurahishi. Na ibaki kuwa mtazamo wangu.
Anytime ninapomzungumzia Henderson jua kwamba hanifurahishi.
Kwa kujua kabisa kwamba hakuna binadamu anayeweza kufurahisha kila mtu, heshimu hilo na baki na mtazamo wako pia.
#punguzakujipendekezakwamabingwa
Haha Mkuu DullyJr tunazipenda hizi timu utadhani tuna hisa vile yaaani....[emoji23][emoji23]Labda iwe Mars,
Lakini si kwa dunia hii, endelea kuota mkuu, ina maana ninavyokuwa kule ktk jukwaa la Chelsea nakuwa chelsea, nikienda manchester nakuwa manchester[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ndio hivyo basi shabiki wa Liverpool ni mkuu Captain Marvelous tu, maana yeye huwezi mkuta majukwaa mengine kizembe
He started his career in the MF before being shipped to the RB and now he is the assist King...looks like next season Trent atasogezwa mbele.................