Mkuu kwanini unaihofia sana Man utd?hahaha au chuki tu
Duuh Rodger when its matters to win rarely he wins man...Leo game ya Leicester vs Tottenham mnisaidie kuniombea Leicester ishinde.
Unaniraruaje wakati nishakurarua tayariHaya bhana! Heshima kwako bingwa wa FA mara nyingi kuliko Timu yoyote ile.
Fanya sasa utinge Fainali uwaziuie Manure au Chelsea wamalize msimu bilabila ili nije nikurarue kwenye Ngao.
Kwani kukana maneno yako shilingi ngapi? 😂Soma vizuri nilichoandika, Point sio kutoka Midtable team! Point ni kuwa mchezaji mwenyewe ni wa Midtable.
VVD alikuwa Midtable lakini hakuwa Mchezaji wa Midtable.
Karius yupo Top Team (Liverpool), lakini ni mchezaji wa Midtable.
Nadhani nimesaidia.
Kwani kukana maneno yako shilingi ngapi? 😂
Unaniraruaje wakati nishakurarua tayari
Duuh Rodger when its matters to win rarely he wins man...
Dakika ya 82 Jose anaongoza 3 Rodgers 0..
YNWA
Yani bora haya Manure yadundwe tu
Problem kubwa ya Rodgers ni defensive schemes, muda anaotakiwa kucheza defense hachezi.
Hata alipokuwa kwetu, ule ubingwa tuliukosa kwa sababu hatukutaka kudefend hata kidogo.
Leo yana hali mbaya balaa.
Chelsea kama anajicheza vile.