Mwamba huyu hapa,
Captain wa mfano,
Capain hodari,
Kisiki kisichoimbwa,
Anachukiwa na mashabiki oya oya
Wachezaji chipukizi wenye uchu wa mafanikio Kuna mengi ya kujifunza kwa huyu jamaa,
Itawachukua karne nyingi Majogoo kupata Captain wa kariba hii,
Kila la kheri kamanda,Liver uliibeba mabegani mwako,Klopp aliingia mwilini mwako ukawa na spirit ya upambanaji na uongozi.
Klopp akimwelewa inatosha kabisa,
Nasubiri Arsenal warelease new kit ninunue niandike jina lako mgongoni.





View attachment 1506339