bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
Team za dunia zishachukuwa ubingwa.. na zilishafuzu uefaNyie viazi team ya Dunia inacheza Leo vs soton![]()
Team za dunia zishachukuwa ubingwa.. na zilishafuzu uefaNyie viazi team ya Dunia inacheza Leo vs soton![]()
Shaqir outMiddfield imejaa kwa cantwell kuja.
Liverpool plan to take up an option to extend defender Dejarn Lovren contact by ànother year and keep him until summer 2022.
Mwamba huyu hapa,






Nakisemaga hapa mnaniona hater, nyie ni mabingwa wa kuokoteza vijirekodi na unazisapot vizuri tu,Mushaanza tena!!!
Musione tumenyamaza ni kwamba hatujachokozwa tu!!
Tumepigwa na!
1) ATM away Hendo ndani
2) ATM Home Hendo ndani
3) Watford Hendo ndani
4) Man City Hendo ndani
Drop na Manure Hendo ndani
Droo na Everton Hendo ndani
Ddroo na Burnley Hendo hakucheza ×
Still win ratio with him 90% while without him 60%?
Nadhani without him wanahesabu na zile game za FA na Carabao tulizokung'utwa na Aston Villa 5 kwa Mtungi
Haki ya Nani kuna Watu Stats zao wanatoa Kuzimu wakizani sisi ni Misukule hatujui kinachoendelea![]()




Njooni tuwape Mustafi.Aibu sana hii.
Mwamba huyu hapa,
Captain wa mfano,
Capain hodari,
Kisiki kisichoimbwa,
Anachukiwa na mashabiki oya oya
Wachezaji chipukizi wenye uchu wa mafanikio Kuna mengi ya kujifunza kwa huyu jamaa,
Itawachukua karne nyingi Majogoo kupata Captain wa kariba hii,
Kila la kheri kamanda,Liver uliibeba mabegani mwako,Klopp aliingia mwilini mwako ukawa na spirit ya upambanaji na uongozi.
Nasubiri Arsenal warelease new kit ninunue niandike jina lako mgongoni.
![]()
Liverpool will take up the option if Lovren is still at Anfield by the end of the summer transfer window.Liverpool plan to take up an option to extend defender Dejarn Lovren contact by ànother year and keep him until summer 2022.
Nakisemaga hapa mnaniona hater, nyie ni mabingwa wa kuokoteza vijirekodi na unazisapot vizuri tu,
ila hii unaipinga kwa kuwa wewe ni anti-Hendo![]()
Sijakuona kweli kabisa ila zinapoletwa unazikubali,Wewe ushawahi kuniona mimi kuokota useless records na kuzileta hapa?![]()
Kesho tafuta pa kujifichaSijakuona kweli kabisa ila zinapoletwa unazikubali,
Hii vita na HENDO haitokuja isha humuMushaanza tena!!!
Musione tumenyamaza ni kwamba hatujachokozwa tu!!
Tumepigwa na!
1) ATM away Hendo ndani
2) ATM Home Hendo ndani
3) Watford Hendo ndani
4) Man City Hendo ndani
Droo na Manure Hendo ndani
Droo na Everton Hendo ndani
Ddroo na Burnley Hendo hakucheza ×
Still win ratio with him 90% while without him 60%?
Nadhani without him wanahesabu na zile game za FA na Carabao tulizokung'utwa na Aston Villa 5 kwa Mtungi
Haki ya Nani kuna Watu Stats zao wanatoa Kuzimu wakizani sisi ni Misukule hatujui kinachoendelea![]()
Mkuu huyo C10 unamaanisha countinho???Shaqir out
Lallana out
Grujic in
Jones in
C10 in
YNWA
EheheeeNjooni tuwape Mustafi.
Kesho tafuta pa kujificha






Mwamba huyu hapa,Hii vita na HENDO haitokuja isha humu
Binafsi Hendo kashanitoka moyoni kitambo sanaaa





