Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_8408.jpg
 
Man City ameshinda rufaa yake ya kutocheza UEFA kwa miaka 2.

Yale matarajio yetu ya kwamba kina De Bryne, Sterling wataondoka watuachie utawala wa Premier League kwisha habari.

Tufanye usajili wa kueleweka, nimeshaona dalili za kutosajili kiungo wa maana baada ya propaganda za kupandisha watoto kuja timu ya wakubwa.

Kiungo, namba 9 na beki wa kati (nafasi ya Matip/Gomes). Hizi tunahitaji proven players, siyo wa majaribio.
 
Michael Edward yupo humu na ameiona hii comment yako usijali,

ila mnachekesha kweli nyie yaani mlikuwa mnatambalia ban ya city iwape mseleleko! Hahahaahaaha
Mngeramba nyasi next season,
Na futa kauli kwamba kuna utawala mtakaoupata msimu ujao,kifupi mshafika kileleni na grafu yene sasa ipo katika kilele inaanza kutiririkia upande wa pili kwa chini,
 
Michael Edward yupo humu na ameiona hii comment yako usijali,

ila mnachekesha kweli nyie yaani mlikuwa mnatambalia ban ya city iwape mseleleko! Hahahaahaaha
Mngeramba nyasi next season,

Yes, kufa kufaana. Unadhani wachezaji wakubwa wangebaki pale kutafuta nini?

Na kama City hayupo kwenye form, hata kusajili tusingehitaji, maana timu zilizopo hata tukicheza pungufu tunazifunga. Isipokuwa City tu ndiye tunahitaji kuwa kamili na kwenye kiwango.
 
Kama mlivyomfunga Burnley juzi pale Anfield mlikuwa pungufu mlicheza 7 uwanjani
Na hapo kwakuwa unaongea kishabiki tu sawa ila msimu ujao jiandae kupambania big4
 
Sasa hivi tunakamilisha ligi, hatuna motivation.

Msimu ujao tunarudisha makali yetu, tena tunaomba msimu ujao tuanze na nyie kabisa ili tuwe na uhakika wa kuanza na point 3.
 
aiseeeeh kweli ushabiki shida ina maana nyinyi si ndio mnataka kuvunja rekodi ya city ya pt100?hamna motivation nayo?
Kwahiyo kile kichapo cha watford nacho timu ilikuwa haina motivation?
Soka ni mchezo wa matokeo mzee,tena yapo ya aina 3

Enjoy soka bro.
 
Points 100 zinafaida gani wakati hakuna mtu aliye juu yetu?
 
aiseeeeh kweli ushabiki shida ina maana nyinyi si ndio mnataka kuvunja rekodi ya city ya pt100?hamna motivation nayo?
Kwahiyo kile kichapo cha watford nacho timu ilikuwa haina motivation?
Soka ni mchezo wa matokeo mzee,tena yapo ya aina 3

Enjoy soka bro.

Wewe unaongelea mechi moja moja, sisi tunaongelea ligi nzima kwa ujumla.

Kufungwa na Watford, kudroo na Burnley hiyo tunachukulia kama ajali na inatokea mara chache sana kwa mabingwa.

Plan ni kuendelea na msimamo huo huo, wa tufungwe bahati mbaya, na iwe chache kadri iwezekanavyo. Kuna timu ambazo zimezoea kufungwa mpaka zikishinda zinajishangaa (Arsenal akiwemo).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom