Hee wenye nyumba match day mmeenda wapi,mpaka najishtukia kumdiss VVD. Sorry![]()
Neco Williams kwa leo inatosha, apumzike mwenye namba 3 yake aingie.
Otherwise Lamptey atamsababishia kadi nyekundu, au watamtumia kama uchochoro.
He aint a robot dia... He is prone to make mistakes etc...Being second its just bahati tu hana kipya wa kawaida mno. Just imagine anafichwa virahisi hasa mechi mlizopokea vipigo. Woooi our rashford tu anamkalisha kirahisi bado atletico wakawaonyesha mlango wa kutokea very simple.
Na ndio second ya mwisho hio
Duh, kumbe Klopp anasomaga maoni ya humu JF, naona kaiona hii post na akafanya mabadiliko fasta.
Hawa raia kwa kukusanya vijirekodi tuwape heshima yao,wanaungaunga si kitotoAaah sema vile hamjazoea hio kitu ndo maana mmeishikia bango. Historia huwa inamkumbuka mshindi tu. Second hana chake.
Kudadeki2nd goal. HendersonView attachment 1501327

Hahaha that the way its is, there is 1st, there is 2nd, there is 3rd etc etc ...Aaah sema vile hamjazoea hio kitu ndo maana mmeishikia bango. Historia huwa inamkumbuka mshindi tu. Second hana chake.
Hahahaaaa jaman jaman jamanii
Kwa ushabiki pembeni VVD alibebwa na bahati na uwezo wa timu nzima kunyakua UCL.




shitmuhm anatumia id ya malafyaleDuh, kumbe Klopp anasomaga maoni ya humu JF, naona kaiona hii post na akafanya mabadiliko fasta.
muhm anatumia id ya malafyale
Siyo rahisi, Klopp alishasema yeye siyo mshabiki wa Liverpool, ni kocha tu.
