Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ile Party ya Ubingwa (Liverpool) si ndo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229.View attachment 1500851

Asante Gini Waynaldam
 
As long as we've nothing to lose hii rotation ya leo ni nzuri kwa Afya za wachezaji wetu.
Sijui Klopp anataka kumdesign Neco Williams kuwa LB na Backup ya Robertson? Just I'm asking myself.
 
Pundits wengi na wachezaji waliopita wanamkomalia Klopp amchezeshe TAA kwenye kiungo ya kulia, nadhani Klopp anajaribu kutafuta right back ili TAA aanze kucheza mbele siku za usoni.

That is my thinking.
 
Being second its just bahati tu hana kipya wa kawaida mno. Just imagine anafichwa virahisi hasa mechi mlizopokea vipigo. Woooi our rashford tu anamkalisha kirahisi bado atletico wakawaonyesha mlango wa kutokea very simple.

Na ndio second ya mwisho hio
In Case you forgot he's 2nd after Messi for Balon D'or.
Any more question?
 
Aaah sema vile hamjazoea hio kitu ndo maana mmeishikia bango. Historia huwa inamkumbuka mshindi tu. Second hana chake.

Ulichokiandika ni sahihi, nafikiri hatuchekani sana, ndani ya miaka 10 iliyopita, hakuna Man United wala Liverpool waliopata mchezaji bora FIFA.

Kwa hiyo kuwa first runner up si haba.
 
Being second its just bahati tu hana kipya wa kawaida mno. Just imagine anafichwa virahisi hasa mechi mlizopokea vipigo. Woooi our rashford tu anamkalisha kirahisi bado atletico wakawaonyesha mlango wa kutokea very simple.

Na ndio second ya mwisho hio

Ongea kimpira basi Numbisa
Coz hapa maelezo yako yamekaa ya kijiwenijiweni.

Uwezo wa mchezaji haupimwi kwa mechi moja moja za kuchagua kama ulivyofanya venginevyo tutasema Cassilas hakuwa kipa kwasababu tu alipigwa migoli 5 na Barcelona, Pia Puyol hakuwa Beki kwasababu tu alipigwa migoli 7 na Real Madrid.

Eneywey! Kuna Beki bora asiyefungwa? Be sportswoman na sio mpiga ramli.
 
Tehetehe akijibu nitag
 
Kwa ushabiki pembeni VVD alibebwa na bahati na uwezo wa timu nzima kunyakua UCL.
Ongea kimpira basi Numbisa
Coz hapa maelezo yako yamekaa ya kijiwenijiweni.

Uwezo wa mchezaji haupimwi kwa mechi moja moja za kuchagua kama ulivyofanya venginevyo tutasema Cassilas hakuwa kipa kwasababu tu alipigwa migoli 5 na Barcelona, Pia Puyol hakuwa Beki kwasababu tu alipigwa migoli 7 na Real Madrid.

Eneywey! Kuna Beki bora asiyefungwa? Be sportswoman na sio mpiga ramli.
 
1st goal. Salah
1594236444804.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom