Labda umeamua tu kujitoa ufahamu kwa kuchanganya majina ya udhamini na mfumo wa ligi, hayo uliyoyataja hapo ni majina ya wadhamini wa ligi,ligi itabaki kuwa ni EPL (Englis Premier League) na kuanzia hiyo 2016 ligi haikuwa na mdhamini...
Hongereni sana kwa ubingwaView attachment 1500595

Sasa kwanini hukubali ukiambiwa CHELSEA ndiye Mfalme wa London wakati ana makombe mengi ya Premier League kuliko Arsenal?
Chelsea ana 5
Arsenal wna 3
But ili uonekane una Makombe mengi ya Ligi kuliko Chelsea ndiyo unahesabu mpaka ya League 1.
Injury ni Kitu kibaya zaidi ya Shetani! TAA na Keita career zao sioni zikiboreka tena.
Sijawahi kukataa hiloSasa kwanini hukubali ukiambiwa CHELSEA ndiye Mfalme wa London wakati ana makombe mengi ya Premier League kuliko Arsenal?
Chelsea ana 5
Arsenal wna 3
But ili uonekane una Makombe mengi ya Ligi kuliko Chelsea ndiyo unahesabu mpaka ya League 1.
, ila hujafatilia kauli zangu vizuri,
hapo nawalaza chaliiiii....
hapo mimi natoka
nawaachia vumbi.Mkuu,
Sijawahi kukataa hilo, ila hujafatilia kauli zangu vizuri,
Kule jukwaa la vitoto Chelsea huwa nawakomalia kuwa nna makombe mengi kwa ujumla wake,kauli yangu kwao ni "WAKUSANYE MAKOMBE YAO YOTE TUPIGE HESABU"hapo nawalaza chaliiiii....
Nikija hapa "NINA MATAJI MENGI YA EPL KULIKO NYINYI"
Na kina Penison wakija kule kwetu wanadai niwaoneshe UEFA ,hapo mimi natoka
nawaachia vumbi.
Yaaah !alikuwa sahihiKwa hiyo mzee unabadilika kutegemea na eneo ulilopo.
Umenikumbusha, kuna clip moja dada anaulizwa "Are you married?", akajibu kwa kusema it depends on who is asking and the environment.
hilo jibu la dada ni hatari aiseeKwa hiyo mzee unabadilika kutegemea na eneo ulilopo.
Umenikumbusha, kuna clip moja dada anaulizwa "Are you married?", akajibu kwa kusema it depends on who is asking and the environment.

Timu yenu Haina mvuto.Ina maana na Traore tunamkosa pia dah?
HBD the heavily decorated colossus himself.
the idio-ts forgot to mention that he's only second to Messi on planet earth!
View attachment 1500831
TAA tena bro?