Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Nilichelewa kuingia humu nlivyo kosa hizo post nikajihisi labda nimeona vibaya ndo nachokoza nijue nilivyo ona ndivyo?Mkuu kwani kuna mtu humu ambaye yuko authorized kusifu wachezaji? Kwamba ni yeye tu anayetakiwa kufanya hivyo!
Kama umeona amecheza vizuri, wewe pia unaweza kumsifu.
