Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ilianza hivi!

• Liverpool haiwezi kushinda Kombe lolote kwasababu haina Winning players! Kina Salah, Marne na Firmino hawajazoea kushinda Makombe.

Tukabeba UCL wakaja hivi!

• CL ni game of chance kushinda kombe ni rahisi kuliko EPL! Kwahiyo Liverpool haiwezi kushinda EPL na Manure atabeba mwanzo EPL kulilo Liverpool.

Tukabeba EPL, sasa ipo hivi!

• Baada ya Miaka 30 ndiyo wanabeba EPL moja! Hii timu imeshajifia EPL nyengine watasubiri baada ya Miaka 40 mbele.

Kabla ya Kubeba EPL Manure's Fanboys walikuwa wakisema hivi:-

• Sisi tuna Makombe ya Ligi 20, Liverpool wana Makombe ya Ligi 18.

Baada ya Liverpool kunyandua EPL 2019/20 Manure's Fanboys wanasema hivi:-

• Sisi tuna EPL 13, Liverpool wana EPL 1, sio tena yao 20 wala yetu 19.

Tutaendelea kusikia mengi wacha tusubiri tu.....
 
Liverpool haijabeba League Cup wala FA kwa kuwa yamebadilishwa majina.
FA ni Emirates cup
Hilo jingine ni Carabao
 
Ilianza hivi!

• Liverpool haiwezi kushinda Kombe lolote kwasababu haina Winning players! Kina Salah, Marne na Firmino hawajazoea kushinda Makombe.

Tukabeba UCL wakaja hivi!

• CL ni game of chance kushinda kombe ni rahisi kuliko EPL! Kwahiyo Liverpool haiwezi kushinda EPL na Manure atabeba mwanzo EPL kulilo Liverpool.

Tukabeba EPL, sasa ipo hivi!

• Baada ya Miaka 30 ndiyo wanabeba EPL moja! Hii timu imeshajifia EPL nyengine watasubiri baada ya Miaka 40 mbele.

Kabla ya Kubeba EPL Manure's Fanboys walikuwa wakisema hivi:-

• Sisi tuna Makombe ya Ligi 20, Liverpool wana Makombe ya Ligi 18.

Baada ya Liverpool kunyandua EPL 2019/20 Manure's Fanboys wanasema hivi:-

• Sisi tuna EPL 13, Liverpool wana EPL 1, sio tena yao 20 wala yetu 19.

Tutaendelea kusikia mengi wacha tusubiri tu.....
Generation yetu ni ya EPL nafikiri ni busara zaidi tukabaki humo.
 
Wambie hao nyumbu
 
IMG_8370.jpg
 
Wacha porojo wewe..
 
Generation yetu ni ya EPL nafikiri ni busara zaidi tukabaki humo.

Nakukumbusha tu In case umesahau au hujui:

Between 1992 and 2001 the league was known as the FA Carling Premiership.
2001-2004: Barclaycard Premiership
2004-2008: FA Barclays Premiership
2008-2016: Premier League
2016-present: England Premier League.

But a name change doesn't matter, right?
That's what we've been telling you for years.

Kama tunabagua Makombe kwa majina ni Chelsea, Man City na Liverpool pekee ndiyo waliobeba EPL, Arsenal hajawahi kubeba EPL katika historia yake unless uje na childish argument.
 
Labda umeamua tu kujitoa ufahamu kwa kuchanganya majina ya udhamini na mfumo wa ligi, hayo uliyoyataja hapo ni majina ya wadhamini wa ligi,ligi itabaki kuwa ni EPL (Englis Premier League) na kuanzia hiyo 2016 ligi haikuwa na mdhamini...

Hongereni sana kwa ubingwa
Screenshot_20200708-084143.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom