Baada ya Invincible ya Arsenal 2003/4 na kumalizika kwa Timu yao Completely 2006 na Arsen Wenger akaanzisha project ya kuwekeza kwa Vijana ambapo alianza kuibuka na kina Welcot, Clichy, OX, Gibs n.k. nadhani unajua kilichotokea mpaka kufikia leo.
Barcelona kizazi cha LAMACIA ni Messi peke yake ndiye aliyejihakikishia Ustaa akiwa Mdogo! Hao kina XAVI, INIESTA, BISQUET, PIQUE walisubiri kina DECO, YAYA TOURE, MARQUEZ, RONALDINHO kuwapokea Wakongwe hao wakiwa tayari wameshapevuka.
Kwahiyo MAKOMBE yanahitaji Watu waliokomaa na siyo Vitoto vya U23