mimi Man U ila najua katika maisha ukishapata ulichokua unakitafuta basi motivation inaisha kabisa. Liver hawana tena morali ya kukaza kama walivyokua wanakaza mwanzoni mwa msimu sababu ubingwa wameshaupata.
kumtaka Liver atumie nguvu kumchalaza Man City ni sawa na kumtongoza mkeo mara ya pili.
Hivi yule anatajwa kuwa ni beki bora wa dunia hakuwepo??
Liverpool imetupa raha sana hakika day by day we love this club more and more...I love liverpool
I love this team so much
Some good news mleteee...Thiago very close to signing for Liverpool View attachment 1495954
Hii ilofungwa ndo liverpool nayoijua mimi
Mkuu hawa jamaa misimu hii mitatu wametumika vya kutosha, kutoka EPL, UCL, Kombe la Dunia, Afcon, Copa America nk ukweli ni kwamba mfumo wa Klopp high intensity to win the ball high in the pitch sio wa kitoto unahitaji full team playing kama unit ndio maana hua tukilost kama jana basi unaona mara ni yule mara huyu kwa vile team inacheza kwa kutegemeana mno..Signings kwa Timu yetu ni jambo lisiloepukika!
Izingatiwe kuwa wachezaji wetu wengi wameshafika kwenye Peak zao! Sio rahisi kuboreka tena zaidi ya pale walipo.
Firmino not the same! He's finished ingawa wengi hawapendi haya maneno! But angalia assists na magoli yake Msimu huu then utajua What I mean.
Gini age is matter
Hendo age
Milner age
Salah reached his peak, he's starting to decline
Robertson reached his peak, same to Salah
Matip age
Well said..Ukweli mchungu ni kwamba ukijudge uwezo wa mchezaji mmoja mmoja hapo liverpool wengi wao ni wa kawaida sana, ila unapokuja katika kucheza kitimu aiseeeh ni wapambanaji kwelikweli kama walikuwa wanatumia booster na hili ndilo lililoleta mafanikio hapo Anfield.
Na nilishawahi kusema na ninasema tena wachezaji wametumia nguvu nyingi sana, wamejituma sana kinachofuata ni fatigue....
Kwangu mimi msure master ni Klopp,[emoji119] maana ndiye aliyekuwa anafanya Hendo ajione kama SG, Robbo ajione kama J.A.R lakini kiukweli hata nusu ya uwezo wa hao watu hawana,
Liverpool walikuwa na kitu kimoja tu ambacho timu zote za EPL hawakuwa nacho ni JK
Hands up to Klopp[emoji119]
Hawana uwezo wa kushikilia bombaMan U vipi?
Anaweza kushinda hata mech 10 ,Man U vipi?
FA tumekukalisha vizuri tu.. na game ijayo tuombe uzima unaeza kukalishwa tenaMsimu huu hakuna timu ambayo haijakalishwa na Liverpool EPL!
Naamini unaujua utamu wa kufungwa na Liverpool FC.
Msimu huu hakuna timu ambayo haijakalishwa na Liverpool EPL!
Naamini unaujua utamu wa kufungwa na Liverpool FC.
FA tumekukalisha vizuri tu.. na game ijayo tuombe uzima unaeza kukalishwa tena
Juzi man city na Watford walivyowakalisha apo vip?Naamini kusoma unajua, na nilipoandika kwenye EPL umepasoma ila umejifanya hujapaona.
Acha kujifanya juha, soma vizuri.
Juzi man city na Watford walivyowakalisha apo vip?
Achana na FA na UEFA uko...
Makaburi mengine siyo ya kufukua mkuu.Siwezi kukulaumu, tatizo lako nalijua.
Hujapona.
MPENZI WANGU BAADA YA KUPONA MATATIZO YA AKILI SIMUELEWI
Makaburi mengine siyo ya kufukua mkuu.
Hahaha basi ulikuwa sahihi kufukua kaburi lake mkuu.Kuna muda uvumilivu unakuwa mgumu, jamaa kila akipost lazima atumie matusi.
Kila jukwaa la michezo unalomkuta ni matusi tu, inachosha.