Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Kwa vile kuna hati hati ya City kukosa UCL next season basi hata wa nafasi ya 5 anachekelea...
Mziki bado sana... Leo Wolves kashinda wanalingana pointi 49 na Manchester United..mbio za top 4 ni kali mno
YNWA
True, kuelekea kumaliza ligi huwa kuna burudani kali sana.
Ngoja tumalizie hii kesi tubaki tunaangalia wanavyohangaishana.
