Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kwa ugumu wa mechi ya jana kumponda minamino kwa thamani yake na kumuacha salama Chambalin upande wangu naona ni uonevu mkubwa kwa minamino
Kwani jana mumepigwa ngapi? Mbona munalia lia?
UmeelewekaKwenye mpira kila kitu kinawezekana kusemewa.
Siokweli wala sio sahihi kwamba tunayasema haya kwa mechi moja.
Tulisema haya before (kabla ya Ligi kusimama kwa Corona) hasahasa performances zetu baada ya Winter break.
Tulisimama kujadili mambo ya soccer kutokana na shughuli za michezo kusimama tu.
Na sasa tumeresume.
Not fair to say one game complaints
Kwa ugumu wa mechi ya jana kumponda minamino kwa thamani yake na kumuacha salama Chambalin upande wangu naona ni uonevu mkubwa kwa minamino
Yani inauzunisha sana na inauma sana kwakweliDah! Chamberlain na Keita ni wachezaji wanaoniumiza sana coz Walikuwa na uwezo wa hali ya juu but injuries zimwarudisha nyuma sana mpaka kupoteza uwezo wao.
Hata klopp naona akipata kigugumizi kuwatoa either mkopo au kuuza anajua uwezo wao lkn injury prone ndio shida kwao.Dah! Chamberlain na Keita ni wachezaji wanaoniumiza sana coz Walikuwa na uwezo wa hali ya juu but injuries zimwarudisha nyuma sana mpaka kupoteza uwezo wao.
Very nice shot indeed.Kuna Free kick moja ulipatikana karibu na box mida ya mwisho mwisho hivi.. Walikaa wawili pale, Fabinho na TAA. Lakini mwishowe Fabinho akatake the shot, it was a nice shot!
Ila bila ya shaka kama ile shot angeichkua TAA, mpira ungekuwa unacheka tu kwenye nyavu za juu!
As long as Klopp is the gaffer i see us conquering... He wont buy for the sake of buying mpaka awe convinced the impact th player will bring to the squad...We will be king of europe and epl again. We are going to regain our kingdom in england. Kama wakija wote walau italeta ushindani na kuwabakisha wengine.
Tutakua na game changer walau 3-5 bench.
Hapana ndugu huyu abakie huko huko akomae vizuri...dogo brewster leo katupia mbili huko....... may be jurgen is betting on him next season as a back up to firmino!
Umeshajibiwa na Bengalisis kuwa tumepigwa 3 bila. Kwahiyo mumebakisha points kama 4 hivi kutufikia na kutupita! Si ndiyo?
Dah! Chamberlain na Keita ni wachezaji wanaoniumiza sana coz Walikuwa na uwezo wa hali ya juu but injuries zimwarudisha nyuma sana mpaka kupoteza uwezo wao.
Well said comrade...Sometimes tunatakiwa kuwaelewa wachezaji wanaposema wanataka kuondoka, kwa sababu hata timu ikiamua inaweza tu kumuuza mchezaji muda wowote hata kama yuko royal kiasi gani.
Tuichukulie kama business.
Mpaka sasa tunafanya vizuri sana kwa sababu ya hela tuliyoipata kwa kumuuza.
Yani inauzunisha sana na inauma sana kwakweli
Jana mtu alionekana hajapoteza ile morale ni matip. Matip alionekana kua na motisha nzuri sana niliipenda. Yeye na TAA nawapakesho 7/10.
Ila wengi miguu yao imepoteza uaminifu na akili yao. Tuwape muda lakini.
Minamino bado naona anakitu flani hivi.
1.Akipoteza mpira ni mrahisi kurudi kuipora sio mvivu dakika zote alizocheza nilimuona akiwa na hari. Bribbling yake ni nzuri sana ana control poa huwez muweka na origi meza moja kwsnye dribbling. Mina ni mzuri kwenye foward movements.
Hawa sioni wakibaki:
1.Lallana proved
2.Lovren proved
3.Shaqiri waiting...
4.Origi waiting...
5.Wilson waiting...
Hawa huenda tukawafuata
1.Traore
2.Neves
3.Cantwell
This has been with us for a long time...Kuna kitu najaribu kukiwaza lakini hakiji kwenye maandishi katika mfumo niutakao.
Liverpool FC imechoka, kuanzia beki, midfield mpaka forwards.
Sioni Liverpool tuliyotaka idominate Premier League na UEFA.
Next season will be one tough season to us.
Hivi ni macho yangu mabovu kwamba Firmino yuko kwenye decline au niko sahihi!
Well said comrade...
Mpira ni biashara aisee...
Kama kipindi kile aliona kule kuna maslahi mapana zaidi yetu ni sawa...
Kwa sasa tusahau yalioyopita tugange yajayo...
Hata Emre Can alikokwenda nako hakuweza fanikiwa uwajani alivyotarajia...
Tunahitaji game changer in C10 mould waliopo wote wamechemka...
YNWA
Exactly ndugu our mids cant create scoring chances day in day out...Yes, kiukweli pamoja na kufanya vizuri, nafasi ya jamaa bado haijazibwa.
Na kadri tunavyokuwa tumebanwa kwenye wing backs ndivyo tunavyopotea kabisa kwa sababu hatuna creative mids wa kupasua.