Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukweli ni kwamba Coutinho hawezi rejea liver, naona dalili zote kwa PC kurudi EPL lakini sio liver, nakumbuka Steve McManaman na Robbie Fowler nao walihusishwa na kurejea lakini ikapita kavu
Ile transfer ndogo aliikomalia sana...

He will never be Inesta replacement..

Barca hawana muda wa kusubiri wao huhitaji delivery instantly.. Nimeona kwa sasa hata Grizman kwao is disposable endapo bei wakipata nzuri...

YNWA
 
Ukweli ni kwamba Coutinho hawezi rejea liver, naona dalili zote kwa PC kurudi EPL lakini sio liver, nakumbuka Steve McManaman na Robbie Fowler nao walihusishwa na kurejea lakini ikapita kavu
I wish jamaa arudi tufunge macho tu.
Ila mwana Nazi ni kauzu hawezi mrudisha.

Ukiwa wa kutumainiwa na uondoke kwa nyodo inakua ndio bye bye.

Pc anaweza jikuta mchezaji wa kawaida akizikosa timu kubwa.
 
tik tok tik tok tik tok tik tok.....

IMG_20200605_074759.jpg
 
Now nadhani mtaniamini nikiwaambiaga klopp Ana aina yake ya ufanyaji kazi hizi habari Za werner ingawa ni mzuri but nilijua hawez mnunua.
Now Chelsea have agreed with him a deal
 
Hata koulibaly hata kuja sababu gomez ni partner anayetosha kwa van dyk.
Nadhani yule dogo wa kiholanzi atapandishwa lovren akisepa
 
ni rahisi kuelewa kwa nini Klopp amesita kumsajili Timo Werner ambapo angelazimika kumlipa mshahara zaidi ya VVD, Alisson, Mane, Bobby, etc. ingeleta shida.

for example Keita anapata mshahara mnono zaidi ya Mane, etc, etc.....
so Klopp needs to ensure this sort of imbalances are fixed first kabla ya ku recruit a marquee player, otherwise inaweza kuondoa harmony kwenye dressing room.

binafsi sijajutia kabisa kumkosa TW - the kid is good but yet to be tested at the highest end of business and he's likely to initially struggle in the EPL just like Keita, Pulisic, etc have been.

my money is still on the toned Traore.

20200605_144854.jpg
20200605_144939.jpg
 
View attachment 1469390View attachment 1469392
Gomez

btw, bila kusajili kitu cha uhakika hapo mbele next season tutapata shida sana jamani!

kumkosa Werner kwangu ni maumivu sana, hatuna mbadala pale mbele, sijui klop anawaza nini muda mwingine
 
Chelsea wamefanya Yao mlifurahia Sana Chelsea alivyofungiwa usajili sasa baba mwenye kujua thamani ya pesa karudi kwa kishindo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom