Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Virgil Van Dijk responds to Michael Ballack

"I wasn't offended because he wasn't insulting me. He was insulting all players in the league Sane, Aguero, Rashford, Vardy, Abraham, Sterling, Aubameyang and the rest for not been good enough to play against me"

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nadhani kasahau kuwataja pia kina Lionel Messi na Cristiano Ronaldo...
 
Naumia sana pale ninaposikia kwamba Liverpool imeachana na mpango wa kumchukua Werner
 
Naumia sana pale ninaposikia kwamba Liverpool imeachana na mpango wa kumchukua Werner
tukimkosa Werner, fasta tumnyakue huyu dogo mwenye misuli kubwa.

in fact, had I been tasked to choose one from the two, Traore would have been my plan A.
that's me though!

20200528_191523.jpg
 
Traore sawa ila Werner alikuwa Bora zaidi
binafsi namuona Keita ndani ya Werner.

EPL ni maneno tofauti kidogo.... Werner anaweza ku struggle sana kabla makali yake hayajaanza kuonekana, na pia kuombea fitness yake iwe stable. players kutoka ligi moja kwenda nyingine ni sawa na unaponunua tikiti maji - you know what I mean?

with Traore, upo guaranteed jamaa will hit the ground running.
 
simkubali sijui mnampendea nn yule jamaa ana misuli tu

pia popote ulipo king ngwaba nmekukumbuka sana

Mkulima wa mahindi
yupo vizuri sana (potentially).
ni Klopp type of player (pace & power).
chini ya Klopp, Traore ana potential kuwa Ballon D'or contender at some point.

nani alijua Mane / Salah (with similar attributes to Traore) eti leo hii wangeweza kuingia kwenye top 5 list on the planet?
 
If the price is reasonable atu join to bring new dynamic and fresh blood to the team... He wont need long to adapt maana yupo in EPL for the last few seasons..

Ila binafsi naona anahitajika real poacher and proven finisher a proper 9, seems Klopp had Timo in sights for that role...

Wakija wote wawili the better since we are offloading Lallana, Shaqir and may Origi thus needing solid back upfront...

Muda utasema i trust in Edwards..

YNWA
 
seconded.

nadhani interest ya Klopp towards Traore itakuwa intensified at the right price.

I like the idea of having both kids onboard, they're both 24, which'll be huge for us.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom