mmangO
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,025
- 1,623
The Toffees..dah Mungu ni mwema.Kabisaaa....
Ingekua Keita yupo kule aisee mpaka sasa wangeshatangaza yupo sokoni...
Kumekucha tarehe 21/6 tunakipiga na majirani zetu....
YNWA
The Toffees..dah Mungu ni mwema.Kabisaaa....
Ingekua Keita yupo kule aisee mpaka sasa wangeshatangaza yupo sokoni...
Kumekucha tarehe 21/6 tunakipiga na majirani zetu....
YNWA
Timo or Mbappe ..au tujilewarndoski tu...msimu ujao mgumu zaidi:-Kabisa Bobby is not getting younger na Origi ana gemu zake sio serial performer...
Tukipata a real 9 means Klopp can twist the system now and then...
YNWA
Kimango ndo Nani?Timo or Mbappe ..au tujilewarndoski tu...msimu ujao mgumu zaidi:-
# Jose na Spurs ndo wanaanza upyaa.
# Carlo na Everton
#Bruno na Manure
# Kimango na Chelsea
#Hasira za Mancity VS UEFA
#Newcastle...loading..
Mkuu Liverpool msimu huu wanaenda kuchukua ubingwa,wameanza msimu hawajasajiri mchezaji yoyote wakikosi cha kwanza.kuna timu kama Man U.walitumia hela nyingi sana kusajiri lakini kikowapi wapi leo,yupo anagombea nafasi ya nne huko.
Kwa utawala huu wa klopp timu zitaendelea kupata hasara maana wanatumia hela nyingi mwisho wa msimu wanataka mikono mitupu.
Huyo pulisic mkuu me niliogopa mpaka nikaanza kumlaumu klopp anazingua kwa nn ajamsajiri huyo?
mashabiki wa Chelsea waliamini watatisha na walianza kwa mbwewe sana.
Klopp siku zote anaona mbali sana,waache waendelee Kipigwa zama zimebadilika.
HelaKimango ndo Nani?
Waliuboresha mwaka jana, ukawa 150kMshahara huu umetokana na mkataba kuongezwa na kuboreshwa pia.
Huu mkataba wa Mane ulikua hivyo kabla hajawa huyu wa sasa.
Ila lazima watauboresha tu afike 200k+.
Hope Klopp wont make mistake iliyomkuta Dortmond ama pia mistake iliyomkuta Shakily...Huu ndo ukweli wote
Hahahaha full cracker man...The Toffees..dah Mungu ni mwema.
Mbappe is a dream move for us though hio labda 2022 when his contract expires unless Edwards pull this and its will be super super signing.... We will be unstoppable...Timo or Mbappe ..au tujilewarndoski tu...msimu ujao mgumu zaidi:-
# Jose na Spurs ndo wanaanza upyaa.
# Carlo na Everton
#Bruno na Manure
# Kimango na Chelsea
#Hasira za Mancity VS UEFA
#Newcastle...loading..
Hahahahahahahahah Bulldoza.Vipi kuhusu lile bulldoza Adama Traole haliwezi kufit pale Liverpool?
Hahahahahahahahah Bulldoza.
[emoji38]Lile ni hatari mkuu, likikaa kulia kushoto mane mpinzani atapta tabu sana[emoji23][emoji23]