Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fine! Ndani ya Miaka 10 tumeshiriki chini ya Mara 3 lakini:-
1) Two Finals
2) 1 Trophy

Man City ndani ya Miaka 10 ameshiriki Mara 10 mfululizo lakini :-
1) 0 Final
2) 0 Trophy

So, what is your point?

Labda nikuulize Status yako Kimataifa inainuliwa kwa kushiriki au Mataji?
Na Hii ndio shida ya Liverpool Fans mnaongozwa na mizuka kuliko facts, nachokueleza hapo ni kwamba Liverpool imekua average team apart from 2 seasons za mwisho na ndio hizo hizo mmefika UCL finals kwahiyo huwezi tumia kama basis ya kudai mnadominate Europe ilihali mmecheza Europa league through out.

2. Kushiriki UCL huwa is not about kubeba kombe ila faida zipo nyingi mfano Tv rights,publicity,fan base,kuvutia world vlass players,Income za mauzo ya jezi continental wise n.k hivyo UCL is worth more than the trophy itself.
 
CWC na Super Cup ni Mabonanza but in your whole life since the establishment of Man City haijawahi kushiriki na wala haitoshiriki kwenye kwenye haya unayoyaita Mabonanza.

So, tunarudi palepale kuwa wewe ni Domestic Team kama Simba na Yanga na wala sio wa International Level! Right?
Mkuu tukihesabu na mabonanza kama Carabao Cup ina maana Man City ana makombe 10 last decade Yaani kila mwaka anabeba kombe moja kitu ambacho Liverpool hamjawahi kukiweza last decade.
 
Publicity ipi unayoizungumzia wewe?

Most watched Team kwenye YouTube ni Liverpool

Most watched Team kwenye TV ni Liverpool

Rudi kwenye Takwimu kabla sijakurudisha mimi.

Kumbe hata Kajitimu kako hukijui unaropoka tu
Publicity sio viewers wa Youtube ni popularity ya timu worldwide, trust me liverpool haiongezi washabiki wapya bali ni wale wale faithfuls wa 30 drought seasons ilihali millenials wengi na frustrated fans wa arsenal,Liver na Man U wamejiunga City.

Ila Man City by 2017 ilikua imeongeza fanbase by 523% ambayo ndio ilikua kubwa kuliko timu yeyote ile, ikimaanisha washabiki wengi walijiunga na Man City kuliko Liverpool last decade.

NB: Mimi sio shabiki wa City mie ni die hard Los Colchonero ambaye amekuvua ubingwa kwenye uwanja wako
 
Na Hii ndio shida ya Liverpool Fans mnaongozwa na mizuka kuliko facts, nachokueleza hapo ni kwamba Liverpool imekua average team apart from 2 seasons za mwisho na ndio hizo hizo mmefika UCL finals kwahiyo huwezi tumia kama basis ya kudai mnadominate Europe ilihali mmecheza Europa league through out.

2. Kushiriki UCL huwa is not about kubeba kombe ila faida zipo nyingi mfano Tv rights,publicity,fan base,kuvutia world vlass players,Income za mauzo ya jezi continental wise n.k hivyo UCL is worth more than the trophy itself.
Hahahahahahahahah hizo mentally za kushiriki tu kwenye mashindano bila kuwa na Ambition Liverpool hatuna Mkuu ni bora tusiwepo kabisa
 
2. Kushiriki UCL huwa is not about kubeba kombe ila faida zipo nyingi mfano Tv rights, publicity, fan base, kuvutia world vlass players.

Ni World Cluss player gani labda muliyemvutia akaja Man City?

Timu kama Man City na PSG hata siku moja haziwezi kuvutia World Class players wakaweza kujiunga na Timu hizo.

Wanachoweza wao ni kuwavutia wale Money Hunters tu baada ya kuwaahidi mishahara minono.
 
Kilichobakia kwa sasa ni kuaccept defeat na kujipanga Kisaikolojia kuwa Ligi inaweza kufutwa muda wowote na kulipokea hilo kwa Mikono miwili
Ndio Maana yake tukubali tu matokeo ligi ifutwe watu waanze upya kwa Maoni yangu kupewa Kombe LFC isikubali. Ligi iendelee au ifutwe ikifutwa tutakubali matokeo, ikiendelea haki pia imetendeka viwili hivyo ndio vipo sawa. ila sio kutangazwa Bingwa wakati ligi haikukamilika.
 
Wachezaji nane sa kikosi cha kwanza cha Westham wameambukizwa corona wapo kalantin
Habari mbaya hii kwa epl

Sent using Jamii Forums mobile app

This post has nothing to do with us! Its better ungeanzisha Uzi wa Westham ili uwapostie hii habari mashabiki wao wajuwe status za Wachezaji wao.
There's no Westham fans kwenye hii thread
 
Publicity sio viewers wa Youtube ni popularity ya timu worldwide, trust me liverpool haiongezi washabiki wapya bali ni wale wale faithfuls wa 30 drought seasons ilihali millenials wengi na frustrated fans wa arsenal,Liver na Man U wamejiunga City.

Ila Man City by 2017 ilikua imeongeza fanbase by 523% ambayo ndio ilikua kubwa kuliko timu yeyote ile, ikimaanisha washabiki wengi walijiunga na Man City kuliko Liverpool last decade.

NB: Mimi sio shabiki wa City mie ni die hard Los Colchonero ambaye amekuvua ubingwa kwenye uwanja wako
Hakuna shabiki anae hama timu ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna shabiki anae hama timu ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo ni takwimu unaweza hata google tu haina haja ya kudebate. Mfano mimi nilikua shabiki wa kutupwa wa Arsenal ila kuanzia 2010 hapo ikawa Atletico Madrid mpaka leo. Kwahiyo washabiki wanapokuja kwako haimaanishi walikua hawafuatilii mpira kabla ila wamehama kutoka vilabu vyao kwa sababu mbalimbali.
 
Dadeki! Bonge la loser mentality
Mkuu hujawahi sikia mchezaji anagoma kuhamia timu sababu haipo UCL?

Kushinda major trophies ni muhimu ila sio sababu pekee ya kushiriki.

Publicity, mauzo ya jezi, Tv rights, fan base, kuvutia world class players etc na ndio maana Valencia msimu uliopita waliambiwa wasijiandae na fainali ya FA Cup yao ili washinde mechi zilizobaki za ligi waibuke nafasi ya 4.

Kwahiyo unaweza ona ushiriki tu UCL ina faida sio za kikombe tu bali nyingi sana hivyo usibeze Man city kushiriki mara nyingi zaidi kuliko liverpool
 
Ni World Cluss player gani labda muliyemvutia akaja Man City?

Timu kama Man City na PSG hata siku moja haziwezi kuvutia World Class players wakaweza kujiunga na Timu hizo.

Wanachoweza wao ni kuwavutia wale Money Hunters tu baada ya kuwaahidi mishahara minono.
Unajua Hapa ndio huwa nacheka..... Na nyie mlisajili hao Van dijk na Alison kwa combined fee ya 150 M nao hawakuwa money hunters? Kiufupi Liverpool mmetumia pesa nyingi sana kwenye kikosi chenu hiki so hamna moral authority ya kukemea expenditure za city na PSG.

Anyway mfano naowapa Sterling aliwaacha coz mlikua a class below city so akaona atawaste tu kipaji chake.
 
Unajua Hapa ndio huwa nacheka..... Na nyie mlisajili hao Van dijk na Alison kwa combined fee ya 150 M nao hawakuwa money hunters? Kiufupi Liverpool mmetumia pesa nyingi sana kwenye kikosi chenu hiki so hamna moral authority ya kukemea expenditure za city na PSG.

Unaweza kuweka statistics za net spending za Liverpool, City na PSG hapa?

Chagua cutoff wewe mwenyewe unayoona inafaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom