kwa lile soka ni Mungu tu ndio aliyejua kwamba mtafungwa ile game..ila dunia nzima walijua lazma mshinde..mlitisha sana..nilitamani nimpigie simu Pep nimwambie nataka city tumchezee Madrid hivyo pale Etihad.πππππππππTunashukuru ndugu..
YNWA
Hakika vijana walipambana kadri wawezavyo kabla ya ile mistake ya Adrian na pale mbele nako kutokua clinical...kwa lile soka ni Mungu tu ndio aliyejua kwamba mtafungwa ile game..ila dunia nzima walijua lazma mshinde..mlitisha sana..nilitamani nimpigie simu Pep nimwambie nataka city tumchezee Madrid hivyo pale Etihad.
Duh kuvurugwo mkuu... Shot 34 on target 11..
YNWA
kweli kabisa mkuu...na bahati iwe kwetu tu hahahahaahaahaa..maana najua kipa wa Madrid awezi kukaza kama Oblack..Hakika vijana walipambana kadri wawezavyo kabla ya ile mistake ya Adrian na pale mbele nako kutokua clinical...
Mkicheza mpira ule na Kun awe pale kati naamini atatoka na hat trick safi kabisa...
YNWA
wewe Loserfoolish ushashikishwa ukuta wa anfield? au ndio mpiga kelele tu.Yani we Jamaa nikiyaangalia unayoyaandika basi kama wewe ni Manure au Arsenane nitakushangaa sana
hata Ali kuna makosa huwa anafanya, anyway hapa Adrian kabebeshwa zigo lkn ukweli walioshindwa kuweka goli mbili ndani ya dk 90 nao wana sehemu yao ya lawama tena kubwa kuliko Adrian.....mimi kwa upande wangu namuona Adrian ndio tatizo licha ya liver kukosa magoli mengi ....balaa alilianzisha yeye kutoa boko na kusababisha goli muda ambao hata wapinzani walikua tayari wameshakubali kushindwa..baada ya kupata lile goli A.M walipata morale, walipata matumaini..huku wachezaji wa liver wakikata tamaa ya kushinda..mimi nina imani kama Alison.B angekuwepo liver angeshinda ile game.
pale mbele mbona walikua wanapiga kazi kutafuta goli vizuri tu?....kama ni goli walilitafua sana licha ya kwamba walifanyiwa marking na wapinzani wao ila walijiitahidi sana..niwe mkweli tu, sijaona udhaifu saaaana pale mbel, walijitahidi kadri ya uwezo wao, sema A, Madrid nao walikua wana defense sana pengine ndio kilichochangia liver wasipate matokeo mapema.hata Ali kuna makosa huwa anafanya, anyway hapa Adrian kabebeshwa zigo lkn ukweli walioshindwa kuweka goli mbili ndani ya dk 90 nao wana sehemu yao ya lawama tena kubwa kuliko Adrian.....
hii timu yetu pale mbele tusiposajili vitu vipya next season tutalia
Huyu Obalak ni habari nyingine kabisa ndugu...kweli kabisa mkuu...na bahati iwe kwetu tu hahahahaahaahaa..maana najua kipa wa Madrid awezi kukaza kama Oblack..
Ujue ile game ya jana ingekuwa kibongo bongo huku tungeseme A, Madrid walikua wanatumia ndumba pale golini kwao..maana mwamba wa goli ulikua kama unasumaku hivi kipa asipodaka, mwamba unazuia.
Duu mkuu una shinda gani na sisi wana Anfield....Acheni uongo bwana watu wa liver mbona mnakua hvyo? Hzo takwim huwa mnagaiana pale anfield au huwa mnazitoa wapView attachment 1385636
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acheni uongo bwana watu wa liver mbona mnakua hvyo? Hzo takwim huwa mnagaiana pale anfield au huwa mnazitoa wapView attachment 1385636
Sent from my iPhone using JamiiForums
uko sahihi, mimi pia sisemi Adrian hajafanya kosa, ila ninachosema ni kwamba sio sahihi kumtwisha zigo lote yeye peke yake!pale mbele mbona walikua wanapiga kazi kutafuta goli vizuri tu?....kama ni goli walilitafua sana licha ya kwamba walifanyiwa marking na wapinzani wao ila walijiitahidi sana..niwe mkweli tu, sijaona udhaifu saaaana pale mbel, walijitahidi kadri ya uwezo wao, sema A, Madrid nao walikua wana defense sana pengine ndio kilichochangia liver wasipate matokeo mapema.
Upo sahihi ndugu tuangalie mazuri ya msimu huu...uko sahihi, mimi pia sisemi Adrian hajafanya kosa, ila ninachosema ni kwamba sio sahihi kumtwisha zigo lote yeye peke yake!
alikuepo Ali mechi na westham, tukaruhusu goli 2, ikaja kwa watford 3, ila leo kosa la Adrian tena nje ya muda wa kawaida ndio iwe kesi? hapana!
mimi sio muumini wa ku-single out mchezaji mmoja kwa udhaifu wa timu nzima!,,,, Stev mwenyewe alitunyima ubingwa kwa kuslip, iwe Adrian leo?.
All in all, msimu huu kwangu umekua bora sana kuliko misimu yote niliyowahi kuishuhudia liver, Ep inarudi nyumbani........ tumechekwa sana![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]