Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahahaha kwanza unaivunjia hesima London ..haiwezi kuwa red hata Siku moja, umesahau kwamba sisi ndo KING of LONDON wa muda wote? Futa iyo kauli yako ya 'London is red' maana ni kosa la jinai kufanya ivyo.

Pili sisi tunaenda kupindua Mesa pale alianz maana tuna recod ya kubeba ubingwa pale..

Tuna uhakika game utakuwa ngumu sana..

Bila kutarajia tunaeza shinda nne pale. Maana wal e madingi watacheza kwa kurelax then sisi tutafanya kweli apo apo..

This is Chelsea

#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Respect Man united Don sisi ndiyo tuliyewazuia msiwe na 100% win kwenye mechi zote mlizocheza.

Mtoeni Chelsea kwenye FA tukutane tena tulipe kisasi cha kutufunga pale Anfield.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ilo gape linapunguzwa tu ..Kila kitu kinawezekana mikakati ipo..

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ollachuga akija atasema tumeshapoteza ubingwa [emoji23][emoji23] afuu atakuambia chelsea ndo bingwa
 
Mesa hamuwezi kuipindua mkuu.hahahaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Respect Man united Don sisi ndiyo tuliyewazuia msiwe na 100% win kwenye mechi zote mlizocheza.

Mtoeni Chelsea kwenye FA tukutane tena tulipe kisasi cha kutufunga pale Anfield.

Sent using Jamii Forums mobile app

Football gods hawakutaka tuivuke hii record ya City, 18 straight wins. Ndiyo maana hata tulipotaka kuivuka tumekutana na dhahama.
 
Aisee ... jana tumefurahisha watu kwakweli yani wamefurahi kana kwamba tumeukosa ubingwa. Yani wamefurahi maana angalau sasa tumefanana kwa kulose match. Walikuwa wanaumia sana na hili, kwanini wasilose na wao? Walikuwa wakilala wakiota. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We lose we win we draw....but we will never walk alone....ata tusngefungwa leo kuna game tungefungwa tu baada ya kujhakkshia ubingwa...uzuri hii inatusaidia tujue mapungufu yetu na kusajili vyuma mana game ka ya leo isingetokea naamini dirisha lijalo klopp angejiamin but rn lazma apange kitu flani...namuona werner na wengne wawl tukisjali
 
Kikosi cha Kwanza cha Liverpool:

1) Alisson
2) TAA
3) Gomez
4) VVD
5) Robbo
6) Faby
7) Hendo
8) Gini
9) Salah
10) Bobby
11) Mane

Subs:
OX
Keita
Origi

Sioni subs nyengine inayoweza kubadilisha chochote zaidi ya hawo 3

We've a very limited squad

- Salah tayari ameshapoteza Half of his Skills
- Firmino not the one we used to know! Technically ameanza kupungua
- Mane ndiyo 100% amebakia kuwa Mane himself! He's still a threat kwenye lango la opponents.

Next Window One Attacking Midfielder na One Striker wanahitajika ili tubaki salama.

Tukumbuke kuwa sasa ni wakati wa kuaccept the truth kwamba KEITA and OX ni failed project. I've no doubt kuhusu Vipaji vyao, but my concern ni injury prone zao ndizo zinazofanya availability yao kuwa ni disadvantage rather than advantage.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…