Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acha pumba weee mishara isingetofautiana kama kweli wana michango sawa m bovu anatukanwa tu huo ndo ushabiki juzi ulisema Keita hafai au sio wewe jana asie faa nani?
Please Kop!!!Please Kop!!!@
Tusilalamike sana,Tusiwatukane wachezaji wetu,Tusimtukane Manager ,Walipotufikisha ni Mbali.Tuwape Respect.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna uadui katika michezo mzee?mkae mtulie,mmechonga sana ...katika michezo kuna tambo na majigambo tu ambayo upande mmoja unakuwa na furaha na mwingine ni kero...........

hahahhahahahahahahhahaha
 
hakuna uadui katika michezo mzee?mkae mtulie,mmechonga sana ...katika michezo kuna tambo na majigambo tu ambayo upande mmoja unakuwa na furaha na mwingine ni kero...........

hahahhahahahahahahhahaha

Nilikuwa namkumbusha jamaa kwamba huwezi kuwa na timu mbovu halafu watu wakaiombea njaa. Maana tayari ina njaa.
 
Dah yaani mchinjaji ndio hula kichwa Ila unawapa United
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lovren sio beki imara.
Gomes aliweza kumpa TAA nafasi ya kujiamini na kupeleka team mbele.
Ox sio mido sahihi.
Huyo jamaa ndo walewale Kloop anajua zaidi wala usijipe tabu

Inabidi leo watuambie kati ya Kloop na Hendo nani akosolewe matokeo yakiwa mabovu
 
Ulikuwa unapenda sana kunitusi na kunionesha maneno ya dharau, na kibaya unayaongelea kwa muendelezo, deep in me nilikuwa naumia uku nikijua am 100% right, ila we unaongea sana ukijua yur100% right but mi nikiona your thinging is normal na ile ya kawaida kwa kuangalia matukio tu
But nafrah unaendelea kupata funzo dunia haiko hivyo kama unavyoona, lazima kuna reasoning ya matukio tofauttofaut na kuangalia kila dot na sio kuamini katika stats uchwara zako zinazokuendesha

Ukijiskia vibaya sorry, but ndo nilitaka uelewe tu hilo, yur not clever as you think, na kuwa na mapenzi haimaanishi unajua, same as to Gerrard, kuwa na mapenzi na tactics ni vitu viwili tofaut
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachapia sana mkuu, au umepanik?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufungwa na watford kumeniuma sana kwa kweli hizi game 3 za mwisho sijui tatizo ni nini?

Timu sasa ndo inaenda kucheza mpira halisi siyo tena ku-defend au break a record ... we are going to start another new record

Sasa hivi timu pinzani wametujulia wachezaji 10 wanakaa nyuma wanazuia tu. Kama watapata nafasi wanaenda kushambulia.

Muda mwingi mpira tunaosisi wao wanatusubiria golini tu pale tukifika hapo wao wako 10 sisi 4 tu.

Hapo sasa kupata shot on target ni ngumu ,mipira mingi ikipigwa inazuiliwa.

Mkuu me naamini tunaenda kuanzisha record nyingine,watu wanashangilia wakiamini record ya Arsenal aijafikiwa ndio basi kama hakuna tena ligi.nawakati liverpool anaenda kuanza kutengeneza record upya tena.

KupotezA hiyo mechi imetupa funzo sana sasa tupambane na mbinu za timu zinazokaa tu nyuma wachezaji 10 wote.maaan kwenye kucheza mpira wote tumewazidi hawatuwezi wanakimbilia kukaa nyuma wachezaji wote.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…