Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hili kombe si la mchezo mchezo
20200229_222709.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo Kipigo kimeumiza kweli ila nayo Bora sasa kushinda game zilizobaki tukabebe kwa City. kilichouma leo sio kufungwa tu ni tumeanza kuipenda Aston Villa na vitimu kama Watford na westham zinashinda mbaya kwa Sammatta mwakani atajikuta daraja la kwanza. na tunao hakuna timu mbaya kucheza nazo kama hizi ambazo hazitaki kushuka.
 
Leo hendo atapewa sifa ambazo hajawahi kuzipata toka azaliwe kutoka kwa plastic fan wa liverpool.
Sio ishu ya plastics fan. Ila kati hakuna kitu no tackling kabisa. Wapinzani wanapita kama wanatembea bustanini. Na vyote hivyo vya alikuwa anafanya hendo sema kama kawaida yenu mnasemaga ooh hakuna kitu anafanya. Na mpk arudi tutakuwa tumeshazalilishwa vya kutosha.
Next chelsea FA...
Mwacheni HENDO aitwe hendo.
Ile 2014 alivyopewa red mechi ya city....next game vs chelsea tukatepeta mpk gerrald akateleza..
Mechi ya ATM inabidi kloop ampige sindano la sivyo tunakula 2 kavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom