FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Hivi kumbe zinakaaga tatu?
Basi leo sisi Watford tumezitumia zote kwa kina Liver










Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe zinakaaga tatu?
Basi leo sisi Watford tumezitumia zote kwa kina Liver










hahaha sana!!
Mkuu ya europa hayo zilipendwa sasa tupo hapa na hii kitu current.....Hata alhamis niliishiwa bando,hivi europa bado mpo?![]()
hahaha sana!!
japo tumechana mikeka mtarajiwa.
Na liva sio hendo tu kwanNatudia tena kusema Arsenal mchezaji ni Aubameyang tu,Waliobakia wote ni Takataka....Over.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee....takataka kama hii liverpool????Natudia tena kusema Arsenal mchezaji ni Aubameyang tu,Waliobakia wote ni Takataka....Over.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawaonea wapi tena, wenzio bado mechi 3 tu wafunge hesabu.Leo mmefundishwa soccer management...na sasa hivi tutaanza kuiona liverpool halisi na liverpool mamboleo![]()
We ni team gani kwanza?,tuanzie hapo😅Mabingwa uchwara. Bisheni sasa bingwa anapigwaje kirahisi hivi????
NYIE ni mabingwa wa hovyo sana. Goli tatu na cleansheet kwa Watford nyie ni uchwara tu hamna hadhi ya kubeba EPL mtakua mabingwa msioheshimika.
Na atletico atawamaliza hiyo Uefa mmetoka jiandaeni kisaikolojia
#GGMU
Hivi kumbe zinakaaga tatu?😃😂😂
Basi leo sisi Watford tumezitumia zote kwa kina Liver
Hahaha, aisee.
Natudia tena kusema Arsenal mchezaji ni Aubameyang tu,Waliobakia wote ni Takataka....Over.
Sent using Jamii Forums mobile app