Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Keita ni box to box midfielder,sio defensive Wala offensive.yeye ni kama wale kina gaucho,deko,seedorf nayi ni no 10

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tafsiri rahisi ya Box to Box:box to box is not a position in the field/pitch. rather is a playable role. Simply midfield mjanja situational. he can move forward if chance is there he can score when opponents wakizembea, ana shoot long range etc,
anaokoa kwenye goal line ikibidi.
KEITA AKIWA RB alicheza mpira mkubwa. Mungu mpe afya njema Nabby tumfaidi msimu ujao
 
nyakati na bahati huwapata wote.sio specific kwa ajili ya watu mahusus tu.
 
Wewe una matatizo makubwa sana, na haya madhara ya kukaa vijijini sana, na hata ukielezwa hutaki kuelewa unaminyana kubisha, tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ushakuwa mtabiri sasa kwa kusema nimekaa kijijini sana.
Ngoja nikusaidie kitu ili ujifunze. Kuna mstari mmoja kwenye bible unasema "waweza kumuacha "mkeo" kwa dhambi ya uasherati. Yaani ukishakuwa kwenye ndoa na ukatembea na mtu mwingine nje ya ndoa haiitwi ngono Bali inaitwa uasherati.

Tupo kwa ajili ya kuwaelimisha watu kama nyie tena kwa upole wa hali ya juu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu gani katika Biblia, sura ya ngapi na fungu la ngapi

Ukahisi ukiuliza hivyo hautapata majibu?
Narudia tena tuko kwa ajili ya kuwapa elimu watu kama nyie.
IMG_20200229_093502_465.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Keita sio tu juzi ndugu mbali kwa mechi nyingi tu hatupi tunachotarajia tukione kwake pengine hii inatokana na muda mwingine kuchezeshwa nafasi 'asiyopenda' na kadhalika...

Binafsi naona haya majereha yakujirudia yamemwadhiri mno kiasi hatuelewi lini tena tutaona ule ukali wake na pia akiwa bila jeraha lolote hata mechi 3 mfululizo...

Keita kama hali itaedelea hivi hivi aisee naona January 2021 aruhusiwa kurudi RB pale hatukosi jembe lingine...

Ukweli ni kwamba benchi letu limepwaya hivyo hatuna namna ni kuwategemea hao Chambo, Keita, Origi, Lallana... Takumi naona huyu anahitaji preseason ili amwelewa vyema Klopp maana kwa sasa hatuna muda wa trials mbali tunataka matokeo...

Natarajia baada ya akina Lallana, Shaqir nk kuondoka klabu itasajili vyema...

Kwa sasa ndugu hatuna namna ni akina Salah wawe wanamaliza gemu mpaka wanapata sub pointi zinakua kibondoni..

By the way magoli ya Chambo Kwa kushinda pointi muhimu yupo juu aisee..

YNWA
Hapa nicheke tu mana nna mtazomo tofauti na wako.
Yani hafai kiasi cha kutupiwa virago dah.
Keita ndo kiungo alo onyesha uwezo kuzidi waliopo wa mbele.

Labda ungenambia hafai kwa sababu ya majeraha yake

Hata mechi ya juzi hajacheza vibaya kulingana na kiwango cha mwenye hiyo namba.
 
Mkuu nilisema... Pengine haya majereha ya kujirudia mara kwa mara yanamwadhiri kiwango chake pindi anapopona na kurejea uwanjani...

Keita mwenyewe yupo stressed why him kuumia mara kwa mara hii situation sio rafiki sana kwake...

Hopefully he can shake off hio injury trend na tumuone akipata dakika za kutosha mechi zilizobaki msimu huu...

Hata Fabby baada ya ile injury hakurejea na ukali ule, its takes time ku regain match fitness and intensity in a real game so we got to be patient enough kwa hawa jamaa zetu...

YNWA

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom