permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,440
- 15,230
Kama ni best aliyemfunga anakuwa best of the best au vipi?Nlchogundua liverpool ni best team now in this world
Aani enzi hizo wala walkua hawasumbui hvi hawa mashabiki uchwara
Sent using Jamii Forums mobile app
chief, nitakutafuta mwezi June ili tupige hesabu za mavuno ya mwisho wa msimu!
Atletico pamoja na kua kwao walipotea vile wakija Anfield watakula 5
moto kweli, yaani ni msako wa nyumba hadi nyumbaWe are facing atletico on March 11, by then akina joao Felix, watakua fit
Sio mchezo
If ideas were horses.....Next round tunaenda, mkuu
If not 3 basi 4 goals tutashinda
Crap...
Hahahaaaaa mkuu,iweke katika maktaba yako utakuja kuileta hapa baada ya mechi 49Nimeiscreen shot hii comment.mashabiki wa Arsenal wanaumia roho record yao inavunjwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama hili nalo unalibishia basi sawa.....Wakati Timu za EPL zina viwango:
- Barcelona anaitandika Arsenal goli 4 huku zikifungwa na Mchezaji mmoja pekee (Messi).
- AC Milan anaitandika Man United goli 3 - 0
- Galatasaray anaitandika Arsenal 3 - 1 Europa League Final
Lakini leo Timu za EPL zimeshuka viwango na ligi yao imekuwa mbovu:
- Liverpool bingwa UCL
- Chelsea bingwa UEL
- Timu za EPL zimekutana Fainali UCL
- Timu za EPL zimekutana Fainali UEL
- Timu zote 4 za EPL zimetinga last 16 UCL & UEL
Ni viwango vipi labda unazungumzia vilivyoshuka?
Au unamaanisha kushuka kiwango kwa Arsenal ndiyo Kunawakilisha Ligi nzima?
Duh...wajinaWalitomba sana machalii, ni haki yao, wamerudi kazini sasa, next leg watakuwa na energy za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupa na hii izidi kukupa shauku na ari....Mtu mgumu aliyebaki ni Man City, na tuko radhi tupaki basi ili hiyo game tushinde au droo.
Maana game ya City inaweza kuwa ya 48 au 49 kutegemeana na màtokeo yetu na Chelsea FA
Nakupa na hii izidi kukupa shauku na ari....View attachment 1363515
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa aisee there is no proper rhythm, no critical intensity, TAA crosses a bit off probably na hali ya hewa inachangia...Nadhani ile 2 weeks break imetuponza, mpaka march 11 tutakuwa tumerudi kwenye ubora wetu
Hahaha pale kuna kocha wao wa fitness au conditioning anaitwa Oscar Ortega ndugu yule babu ni habari nyingine..Huyo ndio Diego el chollo Simeon
Kwa kudefend tu ,mourinho akasome
Kashinda 2-0 na Juve akaenda pigwa 3-0 TurinHahaha pale kuna kocha wao wa fitness au conditioning anaitwa Oscar Ortega ndugu yule babu ni habari nyingine..
Kwanza ukisajiliwa lazima akufanyishe zoezi aidha utapike ama uzimie ndio mwende sawa ndugu...
Usione wale jamaa wamewapoteza akina Jafran, Godin, Luis nk pale nyuma na bado wapo compact ni kazi inafanyika aisee si ya kitoto...
Silaha yao kuu wakati wa ku defend ama kushambulia ni cohesion and discipline..
YNWA
Binti umekuja na lugha za hovyo sio? humu ni Sport tu sasa hizo kejeli za darasa la pili unazitoa wapi? ila utakaa tu,ngoja nikuanzie na dozi ndogo.