Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani ile 2 weeks break imetuponza, mpaka march 11 tutakuwa tumerudi kwenye ubora wetu

Mimi binafsi msimu huu UEFA ni add on kwangu.

Niko so excited na records tunazoweka EPL, especially if we manage to break ile 49 unbeaten run, tukimaliza ligi bila kufungwa nitakuwa kichaa nadhani.
 
Hujanielewa... I think you rushed into my post.
 
Mimi binafsi msimu huu UEFA ni add on kwangu.

Niko so excited na records tunazoweka EPL, especially if we manage to break ile 49 unbeaten run, tukimaliza ligi bila kufungwa nitakuwa kichaa nadhani.
Hii huiwezi mkuu,pamoja na soka kupoteza uhalisia wake kutoka kwa upumbavu so called VAR plus uporomokaji wa viwango kwa timu nyingi za EPL but kwa hii 49 match ni ngumu kumeza kwako.....

UKIITIMIZA HII MIMI NAJIPIGA BAN HUMU,NIKIJITOKEZA TU MNISHAMBULIE KWA MAWE.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahahahah EPL Timu zimeporomoka kiwango.....Sema ARSENAL ndio imeporomoka kiwango kama Shelfield united iko juu ya Msimamo wa League ahead of Arsenal unasemaje Epl timu zimeshuka kiwango.
 
Acha kuongea utoporo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimeiscreen shot hii comment.mashabiki wa Arsenal wanaumia roho record yao inavunjwa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I suggest mechi ya home tarehe 11 keita aanze kati. Japo ni vigumu captain asianze.

Lakini mechi na atletico tunahitaji nafasi zitengenezwe nyingi maana forward yetu kwa sasa imepungua makali.

Tunahitaji kiungo ambaye anakuwa mzuri, mbunifu pale anaposhika mpira kuanzia eneo la mstari wa kati kwenda kwa adui (midfielder runners)

Najua atletico watacheza open game na counter attack chache zenye madhara..

Keita anaweza kuvunja ukuta wa mabeki, kupenyeza mipira hasa ya kati kati akitokea pembeni..

Gini, fabinho, keita Hawa wakianza itakuwa vizuri.

Nb me sio kocha wala simpangii kocha. Naheshimu kazi yake, ni maoni yangu
 

Wakati Timu za EPL zina viwango:
- Barcelona anaitandika Arsenal goli 4 huku zikifungwa na Mchezaji mmoja pekee (Messi).
- AC Milan anaitandika Man United goli 3 - 0
- Galatasaray anaitandika Arsenal 3 - 1 Europa League Final

Lakini leo Timu za EPL zimeshuka viwango na ligi yao imekuwa mbovu:
- Liverpool bingwa UCL
- Chelsea bingwa UEL
- Timu za EPL zimekutana Fainali UCL
- Timu za EPL zimekutana Fainali UEL
- Timu zote 4 za EPL zimetinga last 16 UCL & UEL

Ni viwango vipi labda unazungumzia vilivyoshuka?
Au unamaanisha kushuka kiwango kwa Arsenal ndiyo Kunawakilisha Ligi nzima?
 
Mkuu huyu jamaa yeye anafanyaga mizaha tu ila ukweli anaujua. unapompa fact kama hizi atajifanya kama hajui..
Kiufupi anapenda mabishano ya soka tuu
 
Kafanye application uchukue timu ww. Maana inaonekana ni mtaalamu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio wale wanao amini mtu akiwa kwenye postion fulani hawezi fanya makosa na kwamba yeye ndio kila kitu kila mtu anafanya makosa haijalishi uwe nondo kwenye eneo hilo na klopp kuwa liverpool haimanishi kuwa yeye pekee ndio anauwezo wa kuifundiaha liverpool.sote tunafanya makosa haijalishi kwa kiasi gani tupo vyema katika eneo husika.
 

Mtu mgumu aliyebaki ni Man City, na tuko radhi tupaki basi ili hiyo game tushinde au droo.

Maana game ya City inaweza kuwa ya 48 au 49 kutegemeana na màtokeo yetu na Chelsea FA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…