Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

He the only one you can swap with mbappe.... Mane will not fetch Salah price

And with mane, mbappe can be more free to attack... Mane contributes a lot to defend, Salah is a pure attacker and having him and mbappe may work well in freeflowing football but not in compact game

Mane and firmino drop to create space and protect the team more

If you take out mane, ujue zitakuja zilezile struggle za kufunga, and if you take firmino, Ile balance ya salh na mane won't be as strong

So, based on three reasons I gave you, I would swap mbaffe with Salah

Wengine woote nope
 
IMG_7746.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu nimeona hizo habari daily mail na mirror.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari ipo ndugu hata Steve G captain fantastic amedhibitisha hilo..

Ishu kuu ni kwamba EPL wanafanya uchunguzi wao kuona kama kati ya kipindi tajwa kuanzia nadhani 2012 mpaka 2016 Manchester City walipika taarifa maana taarifa wanazowashilisha Uefa ndio hizo hizo wanatakiwa kuwashilisha EPL ili kupata leseni ya EPL hivyo ni mpaka uchunguzi wa hili jambo ukamilike na adhabu itolewe ndio tutajua ni kipi kinawakumba City ligi ya ndani...

Kwa sasa fingers crossed mkuu..

YNWA
 
Wakamilishe wampe gerrard medali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom