Naomba niishie hapa make tukiendelea mwisho wake tutapishina kauli sipendi mivutano isiyo mana kwa mwanakop mwenzangu.Sasa mchezaji anazingua kipindi chote hicho Kloop haoni anaona yeye aliyepo huko biharamulo bukoba?

Usijali, mwaka wetu huuNaomba niishie hapa make tukiendelea mwisho wake tutapishina kauli sipendi mivutano isiyo mana kwa mwanakop mwenzangu.
tunaitaka na uefaEPL tayari
Hendo ananyanyua tena kwapa!
Sasa ni kujiandaa na EPL ya 2020/21
Sent from my iPhone using JamiiForums
The narrative changes over time. VAR blah blah blah, hard fixtures blah blah, Christmas tight schedule blah blah blah..Liverpool December mutapoteana ha ha ha ha
Mm nashangilia EPL yetu ambayo hatukuipata kwa miaka 30
Kaka hayo ya nani zaidi kwangu hayana nafasi,imeshinda Liverpool na wote wana mchango sawa
Jamani utushangilie moment hizi tuache malumbano
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahahahahahahaha hii picha imenichekesha sana hasa nikiwaangalia hao jamaa wa Southampton
*Fritz*
*Fritz*
*Fritz*
*Fritz*
*Fritz*
*Fritz*
*Fritz*
*Fritz*
*Fritz*