Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,263
Kwavile sikuhizi ushindi kwetu si kitu cha ajabu bali ni kawaida tu, Mimi sijafurahi kwasababu leo tumeshinda bali nimefurahi kwasababu Manure wameendelea kupata shida
Hivi King Ngwaba bado anamnanga hendo au Malafyale alishinda ile vita.
hili wanatakiwa walielewe wasijifiche kwenye kichaka cha odama.Iliyo pita na ya leo amecheza na stats zimemfata zenyewe.kwa sababu hiyo umeona magoli yalivyo mengi leo.
Akiendelea hivi tutapata magoli mengi na huenda akawa mfungaji bara tena
'mtindilo'
I salute u huzungukagi mbuyu unatoboaga hapo hapo.Mkuu kwani kafanya maajabu gani mpaka hiyo misifa anapitiliza au vile alikua hamna kitu kwa hichi kidogo anachapa ndo awe bora?
Tambua anacho fanya sasa ndo anchotakiwa kuifanyia team.
Maajabu mechi ngumu aonyeshe uwezo binafsi afunge goli aisawazishie team kwa ufundi wake nguvu na jitihada zake zile matokeo.
Kwa sifa unazompa sasa inainyesha wazi kua alikua mzigo tu.
'mtindilo'
Tukilamba EPL, CL na FA kuna Manure Fanboys lazima tuwapoteze
Sasahivi kawa mkali balaa, ukimkumbushia maneno yake atakwambia wewe sio mtu wa mpira,Hivi King Ngwaba bado anamnanga hendo au Malafyale alishinda ile vita.
Sasa kama kabadilika mnataka aendelee kumponda ili iweje? Hendo asaiv walau kila gemu either ana assist au anascore wakati before alikuwa ni mtu wa kurudisha mipira kwa kipa na mabeki na anamaliza mechi kumi bila hata assist. Kuna ligi humu ya hendo na salah mnaiendekeza bila sababu, tukubaliane tu mchezaji akizingua lazima tukusoe na akipiga kazi tutampongeza piaSasa
Sasahivi kawa mkali balaa, ukimkumbushia maneno yake atakwambia wewe sio mtu wa mpira,
sio hilo tu tulikuwa tunasajili hata sie kwanini hajanunua flani, siku hizi Klopp hata akitaka kumsajili Pazi humu hakuna ataelalamika atamuaminia tu kama Pazi atakuja kuwa mkali, tehteh! watu walianza oh City inatimu tatu sasa hivi kimya mara oh wachezaji wao wameumia sie wetu ndio hawaumii au? hawawaoni wakiumia kila sababu waseme zote sio hatujali Var sijuiutumbo gani sie tukiona wanalalamika watu ndio furaha kwetu. furaha zao wakitizama Liverpool ni dk 30 au 45 tu, zikizidi 88 ikifika 89-90+ wanatafuta ya kusema.
Sasa mchezaji anazingua kipindi chote hicho Kloop haoni anaona yeye aliyepo huko biharamulo bukoba?Sasa kama kabadilika mnataka aendelee kumponda ili iweje? Hendo asaiv walau kila gemu either ana assist au anascore wakati before alikuwa ni mtu wa kurudisha mipira kwa kipa na mabeki na anamaliza mechi kumi bila hata assist. Kuna ligi humu ya hendo na salah mnaiendekeza bila sababu, tukubaliane tu mchezaji akizingua lazima tukusoe na akipiga kazi tutampongeza pia
Sasa kama kabadilika mnataka aendelee kumponda ili iweje? Hendo asaiv walau kila gemu either ana assist au anascore wakati before alikuwa ni mtu wa kurudisha mipira kwa kipa na mabeki na anamaliza mechi kumi bila hata assist. Kuna ligi humu ya hendo na salah mnaiendekeza bila sababu, tukubaliane tu mchezaji akizingua lazima tukusoe na akipiga kazi tutampongeza pia
Mkuu kwani kafanya maajabu gani mpaka hiyo misifa anapitiliza au vile alikua hamna kitu kwa hichi kidogo anachapa ndo awe bora?
Tambua anacho fanya sasa ndo anchotakiwa kuifanyia team.
Maajabu mechi ngumu aonyeshe uwezo binafsi afunge goli aisawazishie team kwa ufundi wake nguvu na jitihada zake zile matokeo.
Kwa sifa unazompa sasa inainyesha wazi kua alikua mzigo tu.
'mtindilo'
I second u my fellow kop tuko pamoja kwa hili.Mm nashangilia EPL yetu ambayo hatukuipata kwa miaka 30
Kaka hayo ya nani zaidi kwangu hayana nafasi,imeshinda Liverpool na wote wana mchango sawa
Jamani utushangilie moment hizi tuache malumbano
Sent from my iPhone using JamiiForums