Eti auzwe Salah anunuliwe Adama Traore anayefunga goli 5 msimu Mzima
Watu wengine bhana!
Mechi ya pili hii yuko poa bila shaka kapato somo kalielewa na mambo yanamyokeaSalaaa Leo Mtamu.
Kama analeta usenge abakie wa nini au huoni mechi ya pili hii kaacha tamaa Salah anapondwa kwa tamaa tu si uwezoEti auzwe Salah anunuliwe Adama Traore anayefunga goli 5 msimu Mzima 😀😀
Watu wengine bhana!
Anyhow, usipende kuongelea vitu na kubishana kama hujui, kwa watu kama wewe Ngassa akifunga magoli 50 kwako anaweza akamreplace drogba aliefunga magoli 13, wakati factors nyingi ziko tofauti
Man, that MF performance kabla ya kuingia Faby na Naby, ni sababu kubwa itakayofanya tupate tabu/kutolewa na Atletico kwenye CL..
To win that tie we need one of Faby or Naby kuwa fit, otherwise game na Atletico itakuwa ngumu..
Henderson spent 90 minutes passing the ball to VVD/Gomez/Trent/Robbo & Alisson. He attempted like 1-2 good forward pass (one, which resulted to salah's assist), can clealy see why Klopp decided to shift him at RB when Trent got the boot, dude was a passenger today in the MF, kama kawaida he struggles when teams stay deep and leave no spaces in between the lines, as i said back in Nov, Hendo thrives in chaos, when the opponent teams zikiamua kutoshambulia, he starts to shit the bed, as technicalities zinakuwa zinahitajika zaidi kuliko kukimbia na ku-press, leo he was so poor, but i'd say its understandable, sometimes you gotta give credits to the opponent managers, Moyes knew how to occupy our technical-less MF.
But, again its good to see Faby & especially Naby back in time for games like Atletico Madrid, we will need his drive (either away or home), but all in all, Faby must start both games, thats why naona anachofanya klopp kumpa a lot of minutes now ni kizuri, he should be ready for Atletico games.
Sent using Jamii Forums mobile app
I like this
Iliyo pita na ya leo amecheza na stats zimemfata zenyewe.kwa sababu hiyo umeona magoli yalivyo mengi leo.Mara nyingi waga nasema we ni moja ya watu wanaopenda sana mpira, ila pia kuna uhalisia ya kuwa hujui kuangalia mpira, na akili ya kuchambua huna
We ni muangalia stats ila hujui mpira, utaniona siku zote niko hashi cozi tuna personality tofauti
We ni watu ambao mnapata orgasm kutokana na stats ila sio kuangalia mpira uwanjan
Angalia stats za chemberlin akiwa arsenal na akiwa liverpool goals per mach au goals per minute,
Sikushangai maana najua binadam wengi ndo wako hivyo,
Kukukumbusha tu, kwa mpira wa liverpool adama atacheza upande wa mane ndo atawekwa uko
Anyhow, usipende kuongelea vitu na kubishana kama hujui, kwa watu kama wewe Ngassa akifunga magoli 50 kwako anaweza akamreplace drogba aliefunga magoli 13, wakati factors nyingi ziko tofauti
Plus vitu vingi nilivyosema vya salah vinarekebishika, na sijawah kusema hajui, nilichosema anaangaika na kutafuta stats badala ya kucheza stats zije zenyewe
Sijaangalia mpira wa leo na uliopita so sijui ilikuaje
Mkuu kwani kafanya maajabu gani mpaka hiyo misifa anapitiliza au vile alikua hamna kitu kwa hichi kidogo anachapa ndo awe bora?View attachment 1343747
Greatest Captain ever to lead modern Liverpool.
Hendo for Ballon 2020
Sent from my iPhone using JamiiForums