Imefika mahala watu wanamchukia Mo bila sababu imefika mahala hata akitoa assist watu wanasema amekosea siyo kusudio lake, akipiga pasi ikazuiwa watu walalamika sana utadhani wengine hawakosei,
Against wolves kuna ile pasi alitoa mane akashindwa kuifata kisa kaumia watu wakalipuka 'ona hadi Mane kamaindi, kaamua hadi akae chini'
Traore over Salah ni kitu cha kusikitisha kabisa
You have lived miaka michache Sana kutamka hayo
Kazungukwa na mabingwa wazamivuKaka huyo kanyanyua kila kombe kubwa kwa ngazi za vilabu
Kutoka EPL hadi UCL
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahah Mkuu umenikumbusha Lucas leiva msimu wa kwanza tu lazio alivyopigiwa kura mpaka kuchukua mchezaji bora wa team yake...doh ngoja nami nikaunge juhudiMan, Liverpool Echo washaanza propaganda za Henderson kushinda POTY, oh! Yeah been good for 1.5 months, but it was expected..
But guess what, i'm in hahahahah..
Imagine Henderson beating KDB/VVD and Mane for POTY? Hahahaha the fume will be unbearable..
The football world hates, we need to make them hate us even more, we should make sure Hendo gets kwenye voting poll ya POTY, and do the voting, hahah!
Iko hivi, huwa inakuwa ngumu sana kwa title winning players kushinda POTY, kwasababu kunakuwa na more than 4-6 players wanaogombea POTY, so kura zinakuwa zinajigawanya kwao na mwisho wa siku zinakuwa chache, hence this year KDB ana big shout ya kushinda kwasababu at LFC tayari kuna VVD/Mane and TAA, we should add Hendo on this list too man. So cha kufanya ni ku-stick kura zote kwa Hendo..
Hendo winning the POTY, will the most funniest thing to ever happen in world football, and rivars will even hate us more, and i love the idea, man we can actually start Hendo is better than Scholes propagand, hahaha. And you know what it will be so easy to win the debate.
Lets do this people, it will be funny..
LFC fans, huwa hatushindwi kitu.
I'm not joking, i'm serious, we will start this propaganda msimu ukishaisha.
Myself, tayari nina burner accounts 3 za kuhusu Henderson, kwaajili ya kazi hii hii.
Sent using Jamii Forums mobile app

in the summer we need atleast 3 addition, mbele wawili, na lb mmoja......... then mengine yatategemeana na maendeleo ya vijana wetu!Pep Guardiola naona yupo kimya sana hii January, yaani hapo atakuwa anapigia mahesabu Summer, usajili watakaofanya wale tumbili utakuwa ni wa kutisha..
Nahisi inaweza kufika £500m..
Atakuwa kapagawa balaa sahiv..na sidhani kama ataondoka at City, because he'll want to prove something to Klopp next season..
Chelsea nao wata-spend a lot of money..
Everton with Carlo, wataingia sokoni with a lot of money..
Well, if utd sacks OGS, and get Poch, things will be different next season..
People are saying Mou is not the same anymore, but next season he'll invest more kwenye backline, and a strong DM, he just needs few signing..
I want to see how Arteta develop this Arsenal team, he's was one of my fav players, so i hope nothing but the best for him..
Wolves are progressing heavily, they're becoming a massive problem..
Want Aston Villa to survive relegation battle, so i can see Samatta enjoy his PL full season...
Man, next season will be a cracker, a lot of bodies to be put on the line..
I'M ALEADY EXCITED FOR ANOTHER KLOPP'S SHOW, THE NAZI FUCKING BASTARD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool bado atakuwa na nafasi kubwa ya kutwaa sababu ya kikosi kukaa muda mrefu pamoja.Pep Guardiola naona yupo kimya sana hii January, yaani hapo atakuwa anapigia mahesabu Summer, usajili watakaofanya wale tumbili utakuwa ni wa kutisha..
Nahisi inaweza kufika £500m..
Atakuwa kapagawa balaa sahiv..na sidhani kama ataondoka at City, because he'll want to prove something to Klopp next season..
Chelsea nao wata-spend a lot of money..
Everton with Carlo, wataingia sokoni with a lot of money..
Well, if utd sacks OGS, and get Poch, things will be different next season..
People are saying Mou is not the same anymore, but next season he'll invest more kwenye backline, and a strong DM, he just needs few signing..
I want to see how Arteta develop this Arsenal team, he's was one of my fav players, so i hope nothing but the best for him..
Wolves are progressing heavily, they're becoming a massive problem..
Want Aston Villa to survive relegation battle, so i can see Samatta enjoy his PL full season...
Man, next season will be a cracker, a lot of bodies to be put on the line..
I'M ALEADY EXCITED FOR ANOTHER KLOPP'S SHOW, THE NAZI FUCKING BASTARD.
Sent using Jamii Forums mobile app
When it's comes to looking where we were and where we are heading many of us fail to see the clear picture thus its leads to finger pointing and baseless claims...Attracting WC class players is so hard..
You got to be World class to attract these special talents..
Now we can convince any player to join us, you see clubs like Madrid/Barca bado zinauwezo wa kuja kuchukua wachezaji kwetu (despite na ubora tulionao), kutokana na foundation waliyonayo, hawauzi top class players kizembe, wanatumia hawa players kutengeneza sustainable foundation itakayo-last for years, na ndiyo maana zimekuwa zikiendelea ku-challange at the top level kwa muda mrefu sana..
Sasa sisi, mafanikio ya muda mfupi tu, watu wanataka tuanze kuuza our stars, kisa ni selfish, then funny enough mbadala wake awe Traore, hiki ni kichekesho sana..
Mimi ni ambitious fan, nataka club yangu iendelee kuwa bora kwa muda mrefu hata Klopp akiondoka, club isitetereke kabisa, kama Utd/Arsenal or even Chelsea..
We need to proven young players na kuwaandaa taratibu, Takumi (25) is the first one, then i'm sure we will go for either Havertz or Aouar and werner, both are young and already young WC talents who can replace the likes of Salah/Mane and Firmino gradually..
Utakuwa ni ukichaa kumuuza Salah at his peak, kisa ya few bad calls, what if tutapata mchezaji ambaye siyo selfish but hata uwezo wa kufunga/assist/Trackback/Press etc kama Salah? Tutakuwa tumefanya nini?
Do LFC fans know kuwa, kutafuta mbadala wa Gini itakuwa ni ngumu sana, achana na Faby, Gini is klopp's first MF kwenye his team sheet, so you to find a player, and spend a lot of time coaching him, its not ana easy job..
And, man Gini wants more than 150k per week now, ndiyo mazungumzo yanachukua muda mrefu, but i'm 100% sure we will sort it out..yes atakuwa ni average player outside LFC, but kwenye our system he's the main focal point, Klopp's hiden card, man it took me a while to figure it out, but nilipata a very clear picture against Utd, this dude is a ghost machine, Klopp knows how to coach a player man.
Sent using Jamii Forums mobile app
Keita anaumiza sana roho yani kila akicheza unahisi kabisaaa huyu anakua nyota ya team ghafla kaumia sijui anakimavi gani na hisi hata kloop anamkubali sana.My team against The shrews..
Adrian
Neco Williams
Lovren
Matip
Yasser
Fabinho
Pedro
Lallana
Curtis
Takumi
Origi
Klopp, said Keita will be in contention, if so, i'd start him ahead of Lallana.
Fabinho should get few minutes kabla ya wednesday against WH..
We need to go big in the FA now, kuna possibility kubwa ya TREBLE, maana baada ya short winter break, Squad nzima itakuwa fit (Milner & Mane watakuwa wamerudi).
Sent using Jamii Forums mobile app
Keita anaumiza sana roho yani kila akicheza unahisi kabisaaa huyu anakua nyota ya team ghafla kaumia sijui anakimavi gani na hisi hata kloop anamkubali sana.
'mtindilo'


Salah have won us 3 major trophies...Top reds are so weird..
When were calling out Henderson for not performing at the required level, tulikuwa tunaambiwa kuwa tunajifanya kujua more than Klopp..
Now they want Salah to be sold, and replaced by Traore, sasa hii kama kujua more than klopp ni nini?
Hizi double standard sijui zitaisha lini...
Salah is a world class talent, but just like any other player, he deserves kukosolewa, but dismissing him is so stupid..
Getting a player of Salah's calbre will cost a lot of money, a LOT, hao FSG hawatakubali kumuuza Salah kwa chini ya £150m..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu za gizani zipo sitoshangaa ikiwa kweli.Kuna majamaa wanasema Kijijini kwao wanampiga Ulozi![]()
![]()




Nimependa jibu lako aiseeehhhHyo ndo shida tulionayo
Kibaya hatuna mbadala wa uhakika
Shakiri ni mzr ila hatujui anachoderiver mazoezin
Sent from my iPhone using JamiiForums