mmangO
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,025
- 1,623
Mkuu we ndo una point Sasa makosa hayaangalii umuhimu wako Wala sura ukifanya makosa nayo yanahesabiwa ni makosa ile ni team sio family yake japo Mo salah ana umuhimu akifanya makosa yanahesabiwa mi mwenyewe nimeona he is so selfish ..walikwepo wakina Suarez wakasemwa sasa na yeye lazima tukubali japo tunakubali maneno aliyesema anachoangalia Ni kupigania team kuchukua EPL aangalii Golden boot atulie sasa afanye kweli .Nipo upande wakoHaiwezekani mtu atake sifa kwa huribu matokeo ya team asilaumiwe kisa alifanya mazuri? Ubinafsi wake akaufanyie bechi huko mbona tulikua tunamponda Hendo kwa kurudisha mipira nyuma? Huo ustaa wake wakubahatisha asitake kuufosi akatuharibia tim.
Tumecheza mechi kadhaa bila Salah tukawa vizuri sana tu kwa maana nafasi yake inazibika.
Tulikua na hali ngumu sana jana baada ya kutoka Mane hilo ndo pengo sasa sio Salah
Salah anazingua sana tu hata mechi Man u kazingua sana wala simpi sifa kwa lile goli akiwa kaharibu nafasi kibao za magoli.
TEAM KWANZA MCHEZAJI BAADAE
'mtindilo'
# YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app


