Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni kama UEFA ile mechi ya kwanza, ye ndo alikuwa tatizo pale
Analazimisha kutengeneza clip kwa Jordi Alba badala ya kufyatua tushinde
Mechi ya pili angekuwepo tusingepita walah
Mechi na Everton hakucheza tukampiga Blues za kutosha tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
It's a team game banaaaaa
 
64b8b997-b5c4-4c60-9361-0c3a46a41f12.jpg

Le Capitane
Best Captain ever to lead modern Liverpool
Hendo for Ballon 2020
 
Coz Klopp hakuwa na Mbadala wake, hili pia linahitaji Debate? Haina haja ya kutaja majina lakini wewe mwenyewe kaa ukumbuke Midfielders wote waliokuepo Liverpool miaka 4 iliyopita then utapata Conclusion.

Hata Karius tulimtumia Msimu mzima kwa kukosa mbadala wake.
😂 Mkuu kwani for the previous four years hakukua Na transfer windows??. Klopp wachezaji wote ambao hakuwaitaji waliondoka the likes of benteke and Co
Ukiniambia hendo alipewa nafasi acheze eti kwa sababu hakua na mbadala wakati transfer windows zilikuwepo
I doubt
 
Kwa iyo for the past four years according to you hendo has been shit
Did you ever for once ask your self why Jk amemtumia constantly for the four years He's been the manager?
.. According to me yeah he has been shit and a super bam until Keita and Fabby got heavy knocks and change of formation has done him wonders and now we are witnessing what he should have been doing for the past 9 seasons... We signed him when he was 20 and he had to wait when he is 29 to really hit the roof...

YNWA
 
Huyo Traore mnayemsifia ana uwezo gani wa kutafuta magoli ya kupatia timu matokeo ya muhimu pale inahitajika zaidi ya kutumia maguvu na kukimbizana uwanjani? Hivi watu wanasahau kwamba hata goli la pili juzi 60% ni kazi kubwa sana aliyoifanya Salah kabla ya kutoa pasi kwa Hendo then kwa Firmino ndo tukafunga goli la pili, so kama ni mgawanyo wa asilimia goli la pili dhidi ya Wolves, Salah 60%, Hendo 5% na Firmino 35% Jumla 100% Nyavu zikatikisika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Traore has got pace and energy..he has no skills
 
There's something that the Kop wants you to know
The best in the world, his name is Bobby Firmino
Our number nine
Give him the ball and he'll score every time
Sí Señor
Pass the ball to Bobby and he will score
The best in the world, his name is Bobby Firmino
Our number nine
Give him the ball and he'll score every time
Sí Señor
Pass the ball to Bobby and he will score
 
salah being selfish makes him the goal scorer but kuna game za kuwa selfish, kuna game matokeo ya mapema ni muhimu sana kuliko kujineemesha mwenyewe...awe selfish game na atletico madrid kama hatuta toka mchana kweupe...nyie simmeona napoli alivyo tusumbua hapo hapo anfield..
atletico ni wagumu kufungika na si wazur kufunga they are very compact and solid tusiwachukulie simple....sasa akileta u selfish wake kwenye game za namna hii tutatoka mapema tuu

Ndio mana salah game kubwa nyingi anachemsha bse anataka aonekane kwenye score board wakati game kama hizo matokeo ni muhimu kuliko kuangalia nani kafunga..
 
😂 Mkuu kwani for the previous four years hakukua Na transfer windows??. Klopp wachezaji wote ambao hakuwaitaji waliondoka the likes of benteke and Co
Ukiniambia hendo alipewa nafasi acheze eti kwa sababu hakua na mbadala wakati transfer windows zilikuwepo
I doubt

Sasa umeingia katika Sera 2

1) Ya ujengaji Timu
2) Transfer policy za FSG

Tukija kwenye ujengaji Timu, Klopp alitumia Awamu 3.

i. Alianza kujenga attacking kwa zaidi ya Misimu yake 2 ya mwanzo kwa kuwanunua Mane na Salah

ii. Akajenga Defence kwa kuwanunua VVD, Robertson na Kumpandiaha Senior Team TAA na GOMEZ

iii. Akakusudia kujenga Midfield kwa kuwanunua KEITA, OX na FABINHO lakini ujenzi huu haukuwa na mafanikio kwa kiasi kikubwa kutokana na OX na Keita kutokuwa Fit.

Kwahiyo siokwamba Klopp hakuliona hilo la usajili, Aliliona na kulifanyia kazi lakini haikuwa na mafanikio.

Tukiangalia Transfer policy ya FSG
- Hapa ni kwamba FSG wanatoa hela kulingana na Target za Kocha pamoja na Bajeti ya usajili wanayotenga.
Na kumbuka kuwa mwanzo ilikuwa ni vigumu kutoa hela Ndefu kutokana na sera mbovu za usajili kabla ya Klopp.
 
afadhali OX kuliko keita
 
We need him as much as he needs us, hivi ukiondoa Salah, ni striker gani Liverpool ambaye unaona ni likely kuchukua nafasi yake?
Aliondoka torres akandoka suarez aliondoka owen. Sijawahi kuwaga na hofu ya mtu yoyote akiondoka liverpo.
Labda kidogo now akiondoka Van dyk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliondoka torres akandoka suarez aliondoka owen. Sijawahi kuwaga na hofu ya mtu yoyote akiondoka liverpo.
Labda kidogo now akiondoka Van dyk

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi hukuona athari za kuondoka hao Watu?

Are you sure?

Owen?
Torres?
Suarez?

Fine! Nimekuolewa sana bro..
Kuona athari na kuwa hofu na athari ni Vitu viwili tofauti

Mimi mwenzako hata kuumia kwa Matip tu kulinipa hofu achiliambali kuhama kwa mchezaji hata Gini.
 
watu wamepitia magumu mpk hawaoni shida kuendelea kuugua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom