Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu anacheza Norwich...

Ni Midfield wa kushoto, katikati ama mido mshambuliaji huko kote anacheza vyema Sana...

Klopp hopefully atamtupia jicho June 2020..

YNWA

Kama hao tunaowengi, Grujic, Cutis Jones, Harry Wilson, huyo hawezi kuwa upgrade hata ya Lallana.

Hata Milner akienda Midtable Team unaweza muona ni KDB au humkumbuki Xhaqiri?
 
Kama hao tunaowengi, Grujic, Cutis Jones, Harry Wilson, huyo hawezi kuwa upgrade hata ya Lallana.

Hata Milner akienda Midtable Team unaweza muona ni KDB au humkumbuki Xhaqiri?
Hahahaha Lallana is worst signing ever ukiachana na Balotelli...

Huyu ndogo ni EPL proven and he has shown he has talents...

YNWA
 
Harry Wilson yupo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jitahidi uangalie angalau gemu kadhaa za Norwich utamuona....

I will choose Cantwell over Wilson any day of the week.

Bei yake Kwa sasa haizidi £15m anaweza nunuliwa aafu akatolewa kwa mkopo kuwapisha akina Hendo na Milner wastaafu ndio arejee...

YNWA
 
Kama hao tunaowengi, Grujic, Cutis Jones, Harry Wilson, huyo hawezi kuwa upgrade hata ya Lallana.

Hata Milner akienda Midtable Team unaweza muona ni KDB au humkumbuki Xhaqiri?
huyo wilson klopp alishasema hana wasiwasi na ability yake ya kupiga mashuti na free kicks kilicho mfanya atolewe kwa mkopo niku improve maeneo mengine ya kiuchezaji kitu ambacho bado naona hajapata nafas zaid kukifanyia kazi...

Tusitegemee kumuona harry wilson liverpool msimu ujao...klopp kampa alichokuwa anakihitaji..ila namuona akibaki palepale england..that will be good for his career..
 
Kuhusu Grujic naona kama anaweza kupugwa bei..ndoto yake kubwa nikucheza kikos cha kwanza cha liverpool, kulikuwa na tetes kwamba ndio angeziba pengo la milner, chaajabu milner kaongezewa mkataba, nae kachoka kutolewa kwa mkopo, namuona akipigwa bei au kupewa msimu mwengine mmoja wakuonyesha potential yake..
 
Kwa sasa abakie alipo japo hawa ma fowadi wetu wanakosa magoli mengi....

Ishu kuu ni yajayo mwaka 2021 main threat wetu Salah na Mane wakienda AFCON...

Hapo ndio Klopp na jopo lake waanza kazi mapema kujua tuta survive vipi...

Takumi ni mwanzo mzuri..

YNWA
Vichwa lazima viwaume, watuletee watu watakao sogeza siku hawo wanyama wawil wasipo kuwepo..
 
ratiba ya City kuanzia februari iko tight sana. kuna leicester, real madrid, chelsea, arsenal madrid tena(UCL) kuna FA na tarehe zipo karibu tofauti na ratiba ya Liverpool.
hadi march katikati harufu ya ubingwa iakuwa tayari .
Ushindi wa leo utafanya zibakie game 9 tuu ili tutawazwe mabingwa wapya wa EPL 2019/ 2020
 
Kuhusu Grujic naona kama anaweza kupugwa bei..ndoto yake kubwa nikucheza kikos cha kwanza cha liverpool, kulikuwa na tetes kwamba ndio angeziba pengo la milner, chaajabu milner kaongezewa mkataba, nae kachoka kutolewa kwa mkopo, namuona akipigwa bei au kupewa msimu mwengine mmoja wakuonyesha potential yake..
akiuzwa shaqir basi grujic anatakiwa awepo tu.... sema kuna jones nae anatala nafasi

mimi anaeniuma ni ben wood.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Red forever...

2020 unstoppable...

2020 unplayable...

2020 we are almost reborn again..

2020 we are admired, hated for our form, sending many mixed reactions to our competitors...

2020 we are feared and hence we are fearless...

2020 we are Liverpool..

Kuna ule wimbo wa Mace of Harlem World goes something like... "could you hate me now but I won't stop now......

YNWA
 
IMG_7509.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom