Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool are lining up a summer move of £107m for Bayer Leverkusen midfielder Kai Havertz, and lead Manchester United, Barcelona and Bayern Munich in the race to sign the 20-year-old Germany international. (Mundo Deportivo, via Mirror)

Hatuwezi kufanya huo ujinga kutoa hela yote hiyo.hiyo offer in short haiwezekani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimecheka hapo kwenye washindani wake ,

Ila hii tuzo ilikuwa ya TAA kabisa
 
Walikuwepo akina sterling na kane pia. Punguzeni hasira....Kapteni Jembe piga kazi achana na hawa wenye wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kane hakustahili muda mwingi amekuwa injury. , Rahim labda ,ila wachezaji wa man city bado hawapewi airtime kwenye tuzo binafsi

Fikiria man u ndiye angechukua mataji ya ndani kama alivyofanya city. , ingekuwaje
 
Pep analia mpk leo ile kitu walimfanyia kwenye CL......... nadhan pale city walielewa kwann usiku wa uefa Anfield huwa ni habari nyingine!




Sent using Jamii Forums mobile app
thamani ya ule usiku wanaijua tuu washabiki wa liverpool, kelele za pale Anfield nasikia ni balaa, ingawa naona tu kwenye tv , sijui lini na mimi nitakuwepo uwanjan moja kwa moja ni experience hayo makelele [emoji16][emoji16]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…