Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi mnafikiri tumetosheka? Hapana. Tutapiga. Tutaendelea kuwapiga. Tutawapiga hadi mtambae. Narudia tena tutawapiga sana. Klopp hawezi kushangilia vijiushindi hivi vidogo vidogo. Kuna timu tunazidai. Yaani tutazipiga. Point 61 katika mechi 21 si kitu kidogo, ni Premier League special record, ila vijana wanataka zaidi. Mentality iliyopandikizwa kwenye hii timu sio kuridhishwa na ushindi wa goli moja maana tunajua wapinzani wetu mmejipanga kutusimamisha hivyo tunataka tuwapige haswa ili mgundue kwamba kweli mlipambana na Liverpool. Tutawapiga sana. Next stop ni Anfield na tunawakaribisha Manjesta. Tutawapiga.

VOLUME UP TUTAWAPIGA MJUE MNAPAMBANA NA THE BEAST.

Sent using Jamii Forums mobile app
Conqueror

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lallana kuna jamaa nilikua nae akalalamika kwanini Klopp anamtoa Ox nikamwambia huyo anaenda kupunguza tempo kwa kukaa na mpira maana ni mzuri kwenye posession mwisho wa game kakubali kuwa Klopp siku hizi anafanya tactical subs.

Tofauti na zamani alikua anainua mtu ni mtu tu. Angalia Shaqiri tu kaingia bado dakika moja lakinlakini katengeneza chance ya goli.
Klopp has evolved, the boys has evolved, the fans has evolved even those players who are bams are upping thier game case study Lallana of late, as a squad player he is playing some neat football...

Klopp ideas are now followed to the letter...

Opponents wana kazi Sana just how do you stop this Solid compact Liverpool...
 
Mourinho: "They were lucky. They could perfectly finish the game with ten, because the VAR at that time, they were having a tea and they didn't watch Robertson for a red card."

Jose Mourinho believes Andy Robertson was fortunate to escape a red card for his challenge on Japhet Tanganga...
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1320281

20200112_082555.jpg



Sent from my iPhone using JamiiForums


Kwa Klopp kila goti litapigwa, mbinu zake zitasujudiwa na daima mafanikio yake yaheshimiwe 🙊.

This man deserve to be respected 🙏, he make us feel so proud, we conquered Europe and all over the world.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom