Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
4
4
Kwani Real Madrid tunakutana naye wapi mkuu? Tunayemsubiri si ni Atletico Madrid? Tena tunaanzia kwake, ole wake ajidai kufunga kagoli huko kwake atakuja kukiona cha mtema kuni pale machinjioni!Mabwege hao walibebwa na Fergie wanataka kujilinganisha na wenye soka. Kazi ndo imeanza. Tunasawazisha na kufuta rekodi yao EPL. Huko Ulayani wala hatuwawazii... akili yetu ni kumsimamisha Real Madrid. Manure ni nyau tu kama Asenali. Sema alipata bahati ya kubebwa wakati tukiwa tumelewa
Alikuwa anamaanisha kumsimamisha Real Madrid kwenye idadi ya champions league cups.Kwani Real Madrid tunakutana naye wapi mkuu? Tunayemsubiri si ni Atletico Madrid? Tena tunaanzia kwake, ole wake ajidai kufunga kagoli huko kwake atakuja kukiona cha mtema kuni pale machinjioni!
Aaah, asante mkuu kwa ufafanuzi! Nikafikri labda bwana mdogo amechanganya madesa! Na mwaka huu tunabeba tena ndoo! Naombea sana safari hii tuingie naye fainali tumgonge mpaka achakae! Sijui mwaka huu fainali inapigiwa uwanja gani?Alikuwa anamaanisha kumsimamisha Real Madrid kwenye idadi ya champions league cups.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fainali mwaka huu ni kule 'nyumbani' Turkey Instanbul...Aaah, asante mkuu kwa ufafanuzi! Nikafikri labda bwana mdogo amechanganya madesa! Na mwaka huu tunabeba tena ndoo! Naombea sana safari hii tuingie naye fainali tumgonge mpaka achakae! Sijui mwaka huu fainali inapigiwa uwanja gani?