Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unaonaje lakini burudani iliyoonyeshwa jana?
Una uhakika mzee?katika game za jana hii ndo ilikuwa game kubwa sasa naachaje kuangalia?au unanijua sana mzee????

Hii game nimeichake mwanzo mwisho....na kwa kifupi kukataliwa magoli ya mane isiwe sababu ya kufumbia makosa mengine inabidi uache ushabiki....enjoy soccer.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7404.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ulivyoweka still picture peke yake unaweza mislead watu ambao hawakuangalia mechi.

Kwa tulioangalia mechi, mpira ulikua 50 50 baada ya Robbo kuutanguliza mpira mbele zaidi, ila Robbo ndio alianza kuucheza mpira kwanza halafu akatua kwenye mguu wa huyo dogo Tanga Tanga sijui Tanganga.

Hii ni tofauti na case ya Auba, Auba hakugusa mpira, alitua moja kwa moja kwenye ankle ya jamaa.

Auba foul 🙈🙉🙊

IMG_20200111_170359.jpg
 
Ili man city abebe kombe tunatakiwa kupoteza mechi sita na yeye ashinde zote zilizobakia, mathematically we are the champion.

Just to remind you, Last season tulipoteza mechi moja tu.

In case you don't know, Last season tulipoteza mechi moja tu.

Sauti inatoshaaa au niongeze
 
Hahahah hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana ndugu mmangO....

Klopp breaking records week after week..

Some called him specialist in failure oyeee they should have known better... Now he is a specialist to record breaking and guy don't boast nor shout Hahaha nomaa ametulia tuliii maji ya mtungi...
 
Just sit back and cry

We are Liverpool and our patience is paying handsomely

Hating won't win you nothing...

Acha tunyooshe ligi Kwanza

One more record in the bag.... 61 points out of possible 63, that is 97% points percentage

Never before
We the Reds are patient and that one of our core values...

Imagine Klopp was employed by Roman and reach 3 finals walk empty handed with no single trophy haha he would have shown him the door...

But sisi Majogoo ni wavumilivu mno yaani mno.. Kushabikia Liverpool bila uvumilivu ni kujitundika drip laivu..

Tumevumilia miaka 30 kuchukua ubingwa Wa EPL na sasa we are taking the thing in style...

Who let's the Reds out who who let's the Reds who who who...

We are conquering with a super sonic speed..

YNWA
 
Kwa Liverpool hii Unatakiwa uwe na moyo mgumu kama wangu mimi wa kuingia hapa na kukoment negatives hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha wewe ni mtu wetu tunakukaribisha sana..

Kijana wako Hendo bila shaka mambo yake unayaona..

Subiri wiki 2 zijazo apone Fabby upitie Echo au Mirror uone namna kikosi kitavyokua kinapangwa...
 
Hahahahah hiyo kauli nimeitumia tu kusherehesha ila kiukweli VAR imekuwa mwiba mchungu na msaada kwa baadhi ya timu...na nyinyi muna upepo nayo hilo halina ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwenye upendeleo wa VAR hatupo hata 3 bora mkuu...

Sema vile tunashinda kila tukitegemewa kufungwo basi wengine wanaona kama VAR ina msaada kwetu...

Hata bila VAR bado tungeongoza ligi...

Kuna kikao mwezi ujao kwa marefa, VAR, mameneja na wadau wengine kuijadili ilipotufikisha...

YNWA
 
Unaonaje lakini burudani iliyoonyeshwa jana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha duh zile gonga gonga ni noma sana hata mpira ukipotea vijana walikua chap sana ku recover...

Hakika hili jopo la makocha wa Klopp wanafanya makubwa mno.. Vijana wana relax utadhani tumetangulia goli 3 kumbe kamoko...

We killed the game mapema tu alivyo funga goli ever blazing Bobby the Beast...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom