kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Nafuatilia hii match via Livescore. Hebu nipe taarifa vijana wanafanyaje na matumaini yakoje.The only worrying thing kwenye hii line up ni kuwa hatuna solid backups kwenye defense incase of any injury. Fingers crossed all will be well.



HATUGUSI KABISA HUMU HONGERENI Duu pole Mkuu sikua online imeanza saa mbili unusu sasa ni mapumziko..
👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥Msimu huu ninakosa kabisa cha kucomment katika uzi huu, huwa ninapata cha kucomment pale timu yenu inapofanya vibaya.
Msimu huu Liverpool ipo vizuri aisee.
Hongereni sana mabingwa.
Mpaka sasa tunampigia mpira mwingi sana kiasi kwamba inabidi kama una flood lights uwasaidie za kuusaka mpira.Nafuatilia hii match via Livescore. Hebu nipe taarifa vijana wanafanyaje na matumaini yakoje.
To hell with genggenpressing..
Tottenham uwanja wao wamezimwa hamna shangwe zaidi ya wageni kutoka jiji la Majogoo ndio sauti zao zinasikika...Mpaka sasa tunampigia mpira mwingi sana kiasi kwamba inabidi kama una flood lights uwasaidie za kuusaka mpira.
Vijana wako very composed in possesion ukiachilia mbali kukosa umakini kwenye final third.
So far so good
On fire hatari sanaNafuatilia hii match via Livescore. Hebu nipe taarifa vijana wanafanyaje na matumaini yakoje.
Mpaka sasa tunampigia mpira mwingi sana kiasi kwamba inabidi kama una flood lights uwasaidie za kuusaka mpira.
Vijana wako very composed in possesion ukiachilia mbali kukosa umakini kwenye final third.
So far so good
God is Great. Ngoja niendelee kumimina K Vant kwa amani.Mpaka sasa tunampigia mpira mwingi sana kiasi kwamba inabidi kama una flood lights uwasaidie za kuusaka mpira.
Vijana wako very composed in possesion ukiachilia mbali kukosa umakini kwenye final third.
So far so good
Huh! In Klopp I believeOn fire hatari sana