Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uy0 haangalii match,,,Ana c0py & paste2
Una uhakika mzee?katika game za jana hii ndo ilikuwa game kubwa sasa naachaje kuangalia?au unanijua sana mzee????

Hii game nimeichake mwanzo mwisho....na kwa kifupi kukataliwa magoli ya mane isiwe sababu ya kufumbia makosa mengine inabidi uache ushabiki....enjoy soccer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turudi kwenye point ya msingi kuwa mechi za liver VAR haitumiki sasa magoli ya mane yalikataliwa vipi na VAR wakati haitumiki?
Hahahahah hiyo kauli nimeitumia tu kusherehesha ila kiukweli VAR imekuwa mwiba mchungu na msaada kwa baadhi ya timu...na nyinyi muna upepo nayo hilo halina ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnafikiri tumetosheka? Hapana. Tutapiga. Tutaendelea kuwapiga. Tutawapiga hadi mtambae. Narudia tena tutawapiga sana. Klopp hawezi kushangilia vijiushindi hivi vidogo vidogo. Kuna timu tunazidai. Yaani tutazipiga. Point 61 katika mechi 21 si kitu kidogo, ni Premier League special record, ila vijana wanataka zaidi. Mentality iliyopandikizwa kwenye hii timu sio kuridhishwa na ushindi wa goli moja maana tunajua wapinzani wetu mmejipanga kutusimamisha hivyo tunataka tuwapige haswa ili mgundue kwamba kweli mlipambana na Liverpool. Tutawapiga sana. Next stop ni Anfield na tunawakaribisha Manjesta. Tutawapiga.

VOLUME UP TUTAWAPIGA MJUE MNAPAMBANA NA THE BEAST.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza volume kidogo... Mimi naweka beat Sawa

Hii kitu lazima iwe released tar 19 January 2020

Mkono wa Sadio mwenyewe ndani ya anfield studios
 
Una uhakika mzee?katika game za jana hii ndo ilikuwa game kubwa sasa naachaje kuangalia?au unanijua sana mzee????

Hii game nimeichake mwanzo mwisho....na kwa kifupi kukataliwa magoli ya mane isiwe sababu ya kufumbia makosa mengine inabidi uache ushabiki....enjoy soccer.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nd0 mlivy wa2 wa arsenal 👎👎👎
 
Hahahahah hiyo kauli nimeitumia tu kusherehesha ila kiukweli VAR imekuwa mwiba mchungu na msaada kwa baadhi ya timu...na nyinyi muna upepo nayo hilo halina ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool imeshanyimwa four goals

Sijui mnataka nini zaidi

Sisi tutapiga walalamishi wote Hadi mchakae

Kwa sauti ya kamanda wa Dodoma
 
Hiyo possible red card huioni mkuu???!au umefumba macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyoweka still picture peke yake unaweza mislead watu ambao hawakuangalia mechi.

Kwa tulioangalia mechi, mpira ulikua 50 50 baada ya Robbo kuutanguliza mpira mbele zaidi, ila Robbo ndio alianza kuucheza mpira kwanza halafu akatua kwenye mguu wa huyo dogo Tanga Tanga sijui Tanganga.

Hii ni tofauti na case ya Auba, Auba hakugusa mpira, alitua moja kwa moja kwenye ankle ya jamaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom