Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watangazie ubingwa rasmi,timu ya kuifunga Liverpool hapo epl labda itoke sayari ya mars.

Mkuu sasa hivi nikushangilia tu ushindi na kuwasifia tu wachezaji wetu hakuna kingine.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyie hamfiki popote mzee...mutakuwa kama ile arsenal ya 2002 uko mutaongoza weee afu wanaume wa shoka tunakuja pindua meza..subiri uone..

February amkatizi salama nawaambieni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
February amkatizi salama nawaambieni...
emoji41.png
emoji41.png
emoji41.png
Mwaka huu mtahamisha magoli mpaka mwonekane mazuzu! Yaani tayari mmeanza February tena? Si mlisema December!
 
Hata vvd alipokuwa sutton alikuwa na ubora alionao sasa? Alikuwa bek wa kawaida tu kaja liverpool kaji up grade We jamaa bana ubora wa mchezaj unafuatana na timu aliyopo hata mess umshushe bunley atakuwa kituko tu angalia na watu alionao maguire huyo gomes nakwambia mtupie city kama hajawa kituko
Kwa hiyo umekubali man u ni timu ya kituko

According to your words sio maneno yangu

Dah manyumbu mnahangaika sana

Mnatapa tapa mnoo komaeni hata europa mnaweza msiwepo
 
Hata vvd alipokuwa sutton alikuwa na ubora alionao sasa? Alikuwa bek wa kawaida tu kaja liverpool kaji up grade We jamaa bana ubora wa mchezaj unafuatana na timu aliyopo hata mess umshushe bunley atakuwa kituko tu angalia na watu alionao maguire huyo gomes nakwambia mtupie city kama hajawa kituko
Kwahiyo umekubali kwmaba Liverpool baba lao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom